nisaidieni kuhusu hili swala la mwalimu kumtaka mwanafunzi wake kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni kuhusu hili swala la mwalimu kumtaka mwanafunzi wake kimapenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wakozuka, Feb 29, 2012.

 1. wakozuka

  wakozuka Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  jamani nina mdogo wangu wakike ambaye hivi majuzi tu kanieleza kuwa mwalimu wake wa somo la historia anamsumbua na kkumtaka kimapenzi, kwa kweli niliishiwa pumzi na hata kukosa jinsi ya kushughulikia hili swala. shida ni kwamba asasi gani au kitengo gani katka serekali naweza enda shtaki hili, nahata mwalimu huyo siweze endelea na hako ka mchezzo, kwani nikimshughulikia mimi atamuacha mdogo wangu lakini je? vipi kuhusu hao watot wengine?
   
Loading...