Nimepigiwa simu na private namba

Nimepigiwa simu na private namba

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,023
Reaction score
1,185
Rejea kichwa cha habari ni jana nimepigiwa simu na private namba ......ila sikupokea je private namba bado zipo.....Au ndo wasiojulikana hao????
 
Upo kitengo gani mkuu wanataka saini yako
 
hehee ulivyoamka haukujikuta mabwe pande""?
 
Rejea kichwa cha habari ni jana nimepigiwa simu na private namba ......ila sikupokea je private namba bado zipo.....Au ndo wasiojulikana hao????
Ndugu yangu private namba unaamua wewe mwenyewe kufanya setting kwenye simu yako.
 
Piga picha hiyo call uliyoipata tuamini maana hichi kitu hakiwezekani kwasasa.
 
hii kitu imenitokea na mimi halaf anaongea kilugha mi nilipokea nikakaa kimya
 
Duuuh! ni hatar mkuu
Hiyo ni huduma ambayo ipo kwenye simu wenyewe na maranyingi ipo kwenye simu za smartphones unasevu hidden number na unapopiga namba yako haiyonekani kwa unaempigia na kusomeka private number.

Mimi mwenyewe nafanya kwa saana hivooo.

Ukitaka uwamini weka namba yako japo Pm nikupigie uone.

Angalizo kwa vile nipo nje ya tz nikikupigia kwa huko kunaweza kukajitokeza nambari zisizonaidadi maalumu kwenye simu yako aí neno wenyewe private number Lakin ninapopiga hukuhuku inasomeka mojakwamoja private number kwa ninayempigia.
 
Back
Top Bottom