Kampuni ya vinga'amuzi ya Digitek iliishia wap?

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
303
Habari zamuda huu? Ningependa kuuliza hivi kampuni ya Digitek iliishia wapi? Walianza na Antenna(terrestrial) wakaja na dishi ( settelite) ilikuwa inaitwa Digitek plus wamepotea Tena! Kwa muliopo dar Hilo kampuni linahofisi zake? Naje naweza pataje huduma zake kwa mm nliye mkoani huku.... Nawasilisha
 
Kama siyo DSTV potezea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom