Waarabu wasalimu amri kwa Israeli

Waarabu wasalimu amri kwa Israeli

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,445
Reaction score
1,891
kamati ya kupanga ujenzi hapa yerusalemu itaidhinisha mpango wa kujenga majengo 75 ya makazi ya wahayahudi

Habari hizo zimewakera sana waarabu na kuishia kununa tu bila kujua cha kufanya baada ya kuona hatua za kujenga mji wa yerusalem zikiendelea

Source :FlanArabicaNews

FB_IMG_1536172826671.jpg
 
Hivi hasa Jerusalem ni mji wa Waarabu, Wafilisti au Wayahudi ?!. Naomba majibu bila mihemuko kwa maandiko plz.
 
ajabu utashangaa wailamu na wakristo wakigombana humu jf
Kwetu Tarime ule mji ni wa Watimbaru (wakuria) lakini makabila mengine eg. Waluo, wasimbiti n.k. tumejenga na kuishi humo bila shida. Na kila jamii inaishi kwa amani na majirani zao.

Shida ya Jerusalem ni jamii Nyingine kutokutaka kuchangamana na wenyeji au wageni, na hasa kwa kuikweza imani (utamaduni) dhidi ya Nyingine. Mpaka siku wenzetu watakapoelewa kuishi kwa amani na wenzao ndipo amani ya kweli itakapokuepo Jerusalem. Hili tatizo hata hapa kwetu Tz lipo na hasa Zanzibar bila unafki .
 
Nooo ni Jerusalem mbona na kichaa wa dunia kasha hamishia ubalozi huko?
Ukifuatilia history ya nchi hiyo mji mkuu ulihamishiwa huko (Tel Aviv) kufuatia sintofahamu hizi za Jerusalem huko nyuma .

Ukumbuke Israeli ilienda utumwani, na wamerudishwa pale baada ya vita vya pili vya dunia, tena kwa azimio la umoja wa mataifa.
 
Israel vs Palestina, Tanzania vs Zanzibar. Telaviv iko baharini, Dar es salaam baharini, Yerusaleem katikati ya nchi Dodoma katikati ya nchi,Trump vs Dr Magufuli, Trumpu kawekwa na Mungu kipindi hiki kuwezesha makao makuu yaamie Yerusalem na Dr Magufuli kawekwa na Mungu majira haya kuwezesha makao makuu yaamie Dodoma, yajayo yanafurahisha, tumwombee sana jiwe.
 
Israel vs Palestina, Tanzania vs Zanzibar. Telaviv iko baharini, Dar es salaam baharini, Yerusaleem katikati ya nchi Dodoma katikati ya nchi,Trump vs Dr Magufuli, Trumpu kawekwa na Mungu kipindi hiki kuwezesha makao makuu yaamie Yerusalem na Dr Magufuli kawekwa na Mungu majira haya kuwezesha makao makuu yaamie Dodoma, yajayo yanafurahisha, tumwombee sana jiwe.
Hehe trump ni kichaa pia kumbuka
 
Inawezekana Mungu aliwaandaa kwa sababu wana udhubutu ambao wewe wasema ni vichaa.
 
Write your reply...waarabu hawana teknolojia yoyote zaidi ya midevu,wanaweza vipi pambana na Israelites ambao wapo juu kiteknolojiA?
muarabu yupo busy kupigana na mawe vs bunduki
duuh kukosa elimu ni janga
 
Kwasababu hiyo,angalieni,mimi natuma manabii na wenye hekima na waandishi,na wengi wao ninyi mtawauwa na kuwasulubisha,na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu,na kuwafukuza mji kwa mji. Hivyo ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi,tangu damu ya habili yule mwenye haki,hata damu ya zakaria bin baraka,kati ya patakatifu na madhabahu Amiin nawaambieni mambo haya yote yatakuja juu ya kizazi hichi.(mathayo 34-36)--->>mwaka 70,Unabii wa Yesu Kristo ukatimia)



Tena Akasema::

........
Basi Kwa Mtini Jifunzeni mfano: tawi lake likiisha kuchepuka tena na kuchanua majani mwatambua yakuwa wakat wa mavuno u umekuja(Mathayo 24:32)--->> 1948 unabii wa Yesu Waanza timia)
 
Back
Top Bottom