Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nawajuza kitu muhimu zaidi, Hakuna kiumbe ambae ni mwepesi kubadilika kama mwanamke, iwe anabadilika katika uzuri au ubaya. Mwanamke unaemfahamu miaka kumi na tano iliyopita ukikutana nae leo...
51 Reactions
140 Replies
18K Views
Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki? Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena...
1 Reactions
10 Replies
788 Views
Kampuni ya Starbucks yafungua Mgahawa wa kisasa Jijini Milan nchini Italia > Kampuni hiyo inauza Kahawa kutoka Mataifa mbalimbali > Gramu 100 za Kahawa kutoka Tanzania inauza Euro 8 sawa na...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous? Tambalio lake (tumbo) ni la rangi...
3 Reactions
76 Replies
15K Views
Kwa kawaida uvumilivu unahitaji subra na moyo wa kuzuia nafsi isifanye maamuzi magumu yakuleta madhara. Maamuzi hayo yanaweza kuwa mabaya kutokana na hilo neno ugumu ama mazuri katika kuvuka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mtakumbuka mwishoni mwa Disemba 2017, Mtukufu raisi wetu kipenzi Mheshimiwa Dr. (PhD) Magufuli alitutangazi kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa sheria katika uuzwaji wa kampuni ya mawasiliano ya...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Sisi watazamaji wa TV tunaomba local channels zirudishwe kwenye Ving'amuzi vyote. Kama tumeweza kununua Ving'amuzi hata kulipia Local channels tunaweza. Sio kwa mateso haya.
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana JF Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa...
8 Reactions
107 Replies
15K Views
Katika safari zangu nikitumia usafiri wa umma nimechukua wasaa kuongea mawili matatu na madereva na pia wahudumu katika magari haya. Kilicho wazi ni kuwa watumishi hawa wenye kubeba roho zetu...
1 Reactions
5 Replies
994 Views
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee Watoto,amehitimisha wiki ya uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu iliyozinduliwa Septemba 1 Wilayani Nachingwea katika Mkoa wa Lindi.Kampeni hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya Udalali ya Yono , leo iliendesha mnada wa bidhaa zilizoshindwa kulipiwa kodi bandarini yakiwemo makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda Mkurugenzi wa Kampuni hiyo amesema...
4 Reactions
85 Replies
11K Views
Habari wakuu... Mwenye Mrejesho wowote au Alie bahatika kuhudhuria Ibada Takatifu ya Kumwombea Mtetezi wa wanyonge wa taifa atupe mrejesho. Vipi hayo Manyang'au hayajavamia Kanisa?, Eeh Mungu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
*ZIARA YA IRINGA MPYA YAANZA KWA KISHINDO TARAFA YA KISANGA* *>RC Hapi Akagua Miradi,Afanya Mkutano Mkubwa Kijiji Cha Makungu* *Agoma Kuweka Jiwe La Msingi mradi wa afya* Mkuu wa mkoa wa Iringa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara nyingi itokeapo binadamu akafariki wacha Mungu huwa wanatuambia kazi ya Mungu haina makosa na mapenzi ya bwana yametimia. Swali langu itokeapo libinadamu katili likambaka mtoto wa mwaka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa. Kama mada isemavyo hapo juu, nimeota siku nne zilizopita nikila nyama ya mtu ndotoni. Baadae nilishtuka wakati navuta nyama ya makalio ambayo ilikuwa ngumu sana. Yaani...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu habari za jioni nimekuwa nikipita hapa Kibaha Mail moja, kinachonivutia ni hii stand mpya (kituo kipya cha mabasi) kinachojengwa hapa Mail moja. Kwanza napenda niipongeze serikali kwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Lengo la kuondoa vyeti feki kwenye system lilikuwa zuri kwa manufaa ya umma wa watanzania wenye vyeti halali kufanya kazi lakini Je serikali imefanikiwa kuondoa feki zote? Hivi watoto wa baba...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Chidya iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefanya fujo na kusababisha uharibifu wa mali za shule na walimu wakidai walimu wanawabana sana...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Mwendesha bodaboda wa mtaa wa Negamsi mjini hapa mkoani Manyara, Shadrack Sangu (32) ameuawa kwa kupigwa na tofali kichwani baada ya kuingilia ugomvi wa mke na mume waliokuwa na mgogoro wa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…