Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Toka nizaliwe wakuu nyerere yupo hai na kuna chama kilikuwa kinaongoza Nchi hii mpaka hivi leo. Sasa najiuliza tu kwamba ni kweli wananchi bado hawajaamka miaka yote tokea tanzania ianze ...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Dawa yenye picha hapa chini kama inavyojieleza ni dawa Magumashi kabisa, inavyoelekea imewekwa tu majani ya makavu ya kunde au majani ya maharage kisha kuwekwa kwenye karatasi ya rangi na kuuzwa...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Ni moja ya kisa ambacho nimekutana nacho wilaya ya Tarime ambacho alikifanya Mzee mmoja wakati akiwa Kijana na baada ya kufiwa na vijana wake 8 ameamua kutoboa siri Huyu Mzee ana wake wawili ,mke...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Habar za jion ndg , kama kichwa kinavyojieleza , km humu kuna wakala naomba aje inbox tufanye biashara ya mahtaj tajwa hapo juu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Shalom..!!!!, Kiukweli Mimi Binafsi siwezi kumpeleka Mwanangu /Wanangu Shule za Boarding kutokana na Sababu zifuatazo. 1.Mtoto anayekulia Boarding tangu miaka minne au chini ya hapo ni...
21 Reactions
99 Replies
12K Views
Najiulizaga kama ni sawa kwa wanaochimba mchanga sababu kwa akili yangu ndogo naona kama wanadisturb njia ya Maji kwa kusababisha mmomonyoko wa udongo pembezoni mwa MTO. Na kama ni sawa huwa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu salaam, jana nilibahatika kwa Mara ya kwanza kutembelea mkoa wa Kilimanjaro mitaa ya Marangu for the first time. Kwa kweli I was hugely impressed and I can only say big salute my fellow...
25 Reactions
113 Replies
14K Views
Kuna kitu kinaitwa UKIMWI ama Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi… ARV ni dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ili visikushambulie sana.. Wanawake wengi ambao ARV zimewakubali wamenenepeana sana ...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamani tujiulize hawa mgambo wa Makonda wa usafi wanavyofanya ni halali? kwamfano wamekuja nyumbani kwangu wametafuta sababu ya kunitoa faini wakakosa waka wakazunguka choo cha nje uchfu wote...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Mimi nilikuwa nimeajiriwa na kampuni binafsi na kwenye hifadhi ya jamii nina takribani 1,500,000 na nilikuwa nimepanga mwezi wa kumi naacha ili nikafanye biashara zangu au kilimo cha karoti lakini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF. Naomba mwenye kujua anielimishe utaratibu wa kufuatwa ili wavuvi ambao si RAIA waanze shughuli za uvuvi nchini mwetu.
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Siku hizi imekuwa ni jambo la kawaida kukuta season inakuwa na kipande cha maigizo ya watu wa jinsi moja wakifanya matendo yanayoashiria kuwa ni ngono ya jinsi moja,mara nyingi waigizaji wengi...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Habarini wana jf.Leo katika pitapita zangu nikiwa maeneo ya Rujewa,Mbarali nimekutana na msanii kantala wa sinema ya Odama. Tumeongea mengi,lkn kubwa la msingi alkua akisema ,msaada hawana...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo...
4 Reactions
68 Replies
11K Views
Kuna katoto (baby boy), ka miaka 2 mara nyingi sana utakuta uume wake umesimama firmly. Kunaweza kuwa na tatizo lolote hapa?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwanza nipongeze hili wazo la kuanza kusherehekea urithi(utamaduni) wetu kila mwaka ambapo kwa mwaka huu litaanzia Dodoma kesho tarehe 15/09/2018. Kuna tatizo naliona hapa hasa kwenye jina la...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Habarini za usiku, naamini humu ndani kuna wafanyazi wa wizara ya ujenzi na uchukuzi/ Tanroad Kupitia ujumbe huu na forum naombeni mtutazame kwa jicho la huruma sisi wakazi wa mbezi mpiji Magohe...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Mnamo siku ya ijumaa tar 7/9/2018 nilibet kwa premier bet online nikaweka dau la 3000/= kesho yake nikakuta nimeshinda 20,640/= nikawajulisha hawajanijibu mpaka leo na pesa hawajanitumia. Taratibu...
0 Reactions
42 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…