Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

" LOLIONDO" yarudi tena! Pengine hii inaweza kuwa stori nyingine ya kuvutia kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, baada ya mtu mwingine kujitokeza na kuanza kutoa huduma inayofanana na ya Babu wa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu si mwingine ni ripota wa ITV kutoka mkoa wa Mara George Marato, Inabidi serikali imwangalie mwandishi huyu kwa jicho la 3 amekuwa akibabikizia watu kesi zisizo na ushahidi kupelekea wahusika...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nauli ya bombardier na dreamliner kutoka Dar kwenda Mwanza Ni sawa ? Najaribu kuangalia website ya kufanya ticket bookings online ya atcl haijafafanua vizuri . Kwa wale muliosafiri naombeni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nguruwe Ndio Mnyama Pekee Mwenye Magonjwa Mengi Kuliko Mnyama Yeyote Yule Anaeliwa. Huwa Nashangaa Sana Hasa Walaji Wa Nyama Hii Ikiwa Waandaji Huwa Hawaichemshi Kwanza Kabla Ya Kuikaanga...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Wananchi(JWTZ) na Mkazi wa Mbezi ya Kimara amejinyonga kwa kujitundika shambani kwake Chanika! Ndugu wa Marehemu walisema kuwa marehemu aliamka siku ya Jumamosi...
18 Reactions
124 Replies
16K Views
Salam nyote! Tumekuwa na tabia ya kupeleka magari car wash hasa zilizo karibu na sehemu za starehe kisha kumwachia mtu gari na ufunguo akuoshee wakati wewe ukiendelea kupiga ulabu wako ( pengine...
6 Reactions
58 Replies
8K Views
Nimekuwa nikiangalia sana kingo za pembeni za barabara ya Tazara Flyover zinazojengwa nikilinganisha na barabara za juu za nchi nyingine hata ring road za Kenya tu hapo kwenye barabara ya Thika...
6 Reactions
94 Replies
12K Views
Nimeona tangazo lenu la mtu kununua smartfone ya laki tatu ya tecno alafu anashinda bodaboda kweli. Huko ni kutushushia hazi tunaotumia simu zenu. Iwapo mtu anayenunua KARANGA za DIAMOND...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Baadhi yetu tunapata tabu katika hilo, katika mizunguko yetu tunakutana na matukio mengi ambao tunayarekodi live ambayo tunaweza ku share ili kuelimishana, kuonyana n. k. shida ni pale unapotaka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya matukio katika nyumba za kulala wageni yanafurahisha ingawa mengine ni kero kwa upande mwingine; 1. Kugongewa mlango na mhudumu kila mda. 2. kitanda kupiga kelele.. kwiichi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ilikuwa ni awamu ya nne kauli hii ilipotolewa na tajiri mmoja hapa nchini. Nani anakumbuka ni tajiri gani? Mbwa alikuwa Nani? Mwenye Mbwa alikuwa Nani?
3 Reactions
56 Replies
11K Views
Habari wana jamvi niko hapa kushare kitu kimoja na nyie wanajamvi kati ya nchi hizo mbili hapo juu km ntakua nimekosea mtanirekebisha ila naomba mnitajie kitu ambacho ni kimoja ila majina tofauti...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
Habarini za leo enyi ndugu waafrika Kumekua na tabia kadhaa kwa waafrika kuukana na kuubeza uafrika wetu kiutamaduni,kisiasa,kiuchumi na mambo mengi sana kiasi inatia aibu na kuchukiza kwa mtu...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Nisaidieni sheria ya.ufungaji wa baa hivi sheria ya ufungaji ni ya nchi nzima au inajitegemea kila halmashauri hapa jimboni kwa aliekuwa waziri wa habari,utamaduni sanaa na michezo watu hawalali...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Simba,Nyati,Faru,Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akili pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU.Well,amini usiamini,kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Kama title inavyojieleza Nauliza tu kesi ya huyu jamaa vipi? Tangu alipopelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa kuwajeruhi watu wasiojulikana then kuachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena kisha kupewa...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Nini maana ya KUMILIKI? Je; unachomiliki unaweza tena kwenda kukilipia kodi? unaemlipa na wewe kati yenu nani mmiliki? NB: Tutumie Kiswahili pekee!!!
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hatimaye agizo la Rais Magufuli la kutaka muwekezaji Mauza Nyakirang'anyi kurejesha Hotel ya Musoma limetekelezwa baada ya muwekezaji huyo kukabidhi hati ya hotel hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara...
9 Reactions
122 Replies
15K Views
Kote ulimwenguni gari la wagonjwa likiwa lina mgonjwa na limewasha king'ora halipaswi kusimamishwa na yeyote. Na ikiwa litakutana na msafara was rais, je nani atampisha mwingine au litasubiri...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Kama kawa... wakuu leo nimeona niseme tu.. Kuna vitoto vya kike.. na sometimes wakiume wanapenda sana kuja ninapoishi na wanaingia hadi Chumbani kwangu.. kwa kuwa mie sio Mkali,na wala sina...
1 Reactions
88 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…