Nauli ya bombardier na dreamliner Ni sawa ?

Nauli ya bombardier na dreamliner Ni sawa ?

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,955
Reaction score
4,899
Nauli ya bombardier na dreamliner kutoka Dar kwenda Mwanza Ni sawa ? Najaribu kuangalia website ya kufanya ticket bookings online ya atcl haijafafanua vizuri . Kwa wale muliosafiri naombeni kujulishwa nataka nifanye bookings ya dreamliner sitaki kusafiri na bombardier.
 
Huku ni kukosa uzalendo mkuu kwani bombardier zina nini?
 
nataka kufaidi ndege mpya mkuu. Nchi 4 tu Afrika zinayo!
Ata bomberdier nazo si mpya mkuu ?
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ata bomberdier nazo si mpya mkuu ?
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ni sawa zote ni mpya hakuna ubishi juu ya hilo lakini nyingine zimeshatumika almost mwaka mzima au zaidi,hii dreamliner ina mwezi mmoja tu bado harufu ya upyahaijaondoka!
 
ni sawa zote ni mpya hakuna ubishi juu ya hilo lakini nyingine zimeshatumika almost mwaka mzima au zaidi,hii dreamliner ina mwezi mmoja tu bado harufu ya upyahaijaondoka!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu lakini si imeshaoshwa ile harufu imeshapotea.
 
Hivi mkuu kwa safari ya dar_moro kupanda passo na crown athlete ipi unapenda.
Kwa uzalendo nitapanda passo ya baba na kuacha crown kama itakuwa inatunia gharama kubwa.
 
Inategemea ni muda gani unasafiri, afu ni one way ama? Jieleze vizuri usaidiwe.
 
Moja ya vitu ambavyo uwa naviogopa na kuviheshimu pia ni maiden voyage/flight ya chombo chochote cha usafiri iwe ni ndege, meli, bus n.k. Mfano wake ni kama yaliyotokea kwenye meli ya Titanic.
 
Back
Top Bottom