Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es salaam ndio mkoa wenye watumishi wa umma wengi zaidi kuliko mikoa mingined kisha Dodoma ikifuatiwa. Watumishi wa umma wanaoomba kuhama karibu 98% au zaidi huomba kuhamia aidha kwenye jiji...
3 Reactions
19 Replies
972 Views
DAR ES SALAAM – Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura ametoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na mkanganyiko wa malipo ya fedha yaliyofanyika kwa baadhi ya watumishi wa...
7 Reactions
19 Replies
663 Views
Haya mambo ingawaje ni maswala binafsi ila yanaumiza pale kijana wako au binti yako anapokosa mwenza yaani unajiona kama una mkosi flan ivi tena ukikosa mjukuu ndio mbaya zaidi (heli ya watawa wao...
7 Reactions
17 Replies
303 Views
Mtu umetoka hapa⤴️ Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️ Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu...
10 Reactions
69 Replies
900 Views
Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu. Swali ni je! alikuwa...
3 Reactions
15 Replies
464 Views
Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi. Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu...
11 Reactions
48 Replies
609 Views
"MUHAMMAD anavyotuonyesha ni jinsi gani Allah anamuogopa yeye" Ukiisoma Quran kwa macho ya makengeza unaweza kuona kuwa ni kitabu cha MUNGU kweli, ila ukisoma kwa macho yaliyo na utulivu...
5 Reactions
15 Replies
264 Views
Anonymous
Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA...
2 Reactions
17 Replies
299 Views
🔍 UTANGULIZI Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Lilith ni jina linalotokea katika hadithi za kale za Kiyahudi, na kwa kiasi fulani limekuwa maarufu katika fasihi, hadithi za dini, na hata utamaduni wa kisasa. Hapa chini naeleza kulingana na...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Anonymous (3e29)
Kuna watu watatu wamepigwa risasi za moto na askari waliokuwepo kwenye msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza walipokuwa wakielekea Kijiji cha Kalilani kilichopo mkoani Kigoma Wilaya ya Uvinza...
1 Reactions
4 Replies
326 Views
Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi...
2 Reactions
11 Replies
205 Views
Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
13 Reactions
24 Replies
376 Views
Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa. Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana... Waziri mkuu kutaka...
13 Reactions
15 Replies
540 Views
▪️Waziri Mkuu asema Rais Dkt. Samia ameshaonesha kwa vitendo ni kiongozi mtekelezaji ▪️Shule 103 za amali zajengwa nchini, 29 zikiwa za uhandisi ▪️Aeleza fursa za Samia Scholarship kwa wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Rushwa ni adui wa TAIFA Kwa ufupi naomba nikuonyeshe why nasema Rushwa ni adui wa TAIFA. 1. Rushwa inawanyima wanyonge haki zao. Mnyonge hasikilizwi popote labda awe na rupia ndo atavunja uzia...
2 Reactions
11 Replies
241 Views
Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji...
0 Reactions
7 Replies
178 Views
Anonymous (8e0c)
Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi...
1 Reactions
7 Replies
438 Views
Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
1 Reactions
19 Replies
435 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…