Mjue Lilith ni nani

Mjue Lilith ni nani

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,177
Lilith ni jina linalotokea katika hadithi za kale za Kiyahudi, na kwa kiasi fulani limekuwa maarufu katika fasihi, hadithi za dini, na hata utamaduni wa kisasa. Hapa chini naeleza kulingana na mitazamo tofauti:

1. Katika Hadithi za Kiyahudi (Midrash na Talmud):
Lilith anatajwa kama mwanamke wa kwanza aliyeumbwa kabla ya Hawa (Eva).

Hadithi inasema kwamba Lilith aliumbwa kutoka udongo kama Adamu, tofauti na Hawa ambaye aliumbwa kutoka ubavu wa Adamu.

Lilith alikataa kumtii Adamu kwa sababu waliumbwa sawa, hivyo aliona hawapaswi kuwa na uhusiano wa mamlaka.
Alimkimbia Adamu na kuishi peke yake au akaelekea kwenye maeneo ya mapepo na mizimu.
Baada ya kuondoka, Mungu alimuumba Hawa kama msaidizi wa Adamu.

2. Katika Biblia ya Kikristo:
Jina Lilith halijatajwa waziwazi katika Biblia ya kawaida.

Wengine huona kivuli cha jina hilo katika Isaya 34:14, ambako linatajwa "mnyama wa usiku" au "night creature" (kwa Kiebrania: lilit), lakini tafsiri hii si ya moja kwa moja wala si sahihi kwa kila mtazamo.

3. Katika Utamaduni wa Kisasa:
Lilith hutazamwa na baadhi kama ishara ya uhuru wa wanawake, kwa sababu alikataa kunyanyaswa na Adamu.

Wengine humwona kama kiumbe wa giza au pepo wa usiku, hasa katika hadithi za kale au za kichawi.

Kwa kifupi:
Lilith si sehemu ya simulizi rasmi za Biblia ya Kikristo au Qur’an.

Ni sehemu ya hadithi na fasihi ya kale ya Kiyahudi (Midrash).

Anafasiriwa tofauti: wengine humwona kama mwanamke wa kwanza, wengine kama pepo wa usiku, na wengine kama allegory ya mwanamke huru.

NAWEZA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWAMBA

WANACHO FANYA JAMII YA JADI NI KAMA WALICHO FANYA WAZUNGU KUAMINSHA ULIMWENGU KUWA KILA KITU KILIANZIA KWAO NA ATA BINADAMU WA KWANZA AKITOKA KWAO

MATOKEO YAKE NI NINI?
kama ihi Kasi itaendelea Kati ya Africa na wazungu mwisho wa siku kila mtu atasema ukweli na Kwanini waliamua kulisha uongo ulimwengu
 
Ndie muasisi wa feminist movement, superwomen, single mama,mishangazi na nadharia zote za kutokuwa chini ya utii au mamlaka ya mwanaume ili kujenga familia bora yenye maadili ili kuwa na taifa bora,
Taifa bila familia limekufa, familia bila maadili hakuna taifa ndo yanayoendelea kwa sasa kwenye maisha tunayonayo.
Wanawake wengi kipato kikiongezeka tu jambo la kwanza wanakimbilia kuzibomoa ndoa zao ile Roho iliyopo nyuma yake ni Roho ya Lilith kugoma kuwa chini ya umiliki kwa kugoma kutii.
Hakuna maisha bila utii iwe shuleni,kazini, kwenye biashara, kwenye familia ni lazima pawepo na kiongozi.
Lengo la utii ni kujenga na sio kubomoa
 
wazee wangu Mshana Jr AYnay hebu njooni huku kwanza mnisimulie vizuri hii hadithi ya huyu bi dada lilith na mnipe na reference book nikapitie au kama kuna movie yoyote yenye story yake mniambie nikaitafute ili weekend yangu ikawe mujarabu kabisa
 
Unataka kujua nini kuhusu Lilith ? maana kuna mengi sana ya kumueleza na kumchambua ambapo tunaweza kesha hapa tuna mchambua 😁😁
 
homa imenizidia jamni😅😅😅 ,,,

sasa chumbani unaenda kufanya nini? hebu baki hapo kwanza unisimulie vitu vya msingi na wew😪 mbona unidodishie maarifa
😁😁 ulichonifanyia siku ingine nitakutoza fine..

chumbani kusoma biblia 😁😁.. Njoo nikufundishe vifungu yhen tusali lozali
 
😁😁 ulichonifanyia siku ingine nitakutoza fine..

chumbani kusoma biblia 😁😁.. Njoo nikufundishe vifungu yhen tusali lozaliView attachment 3589255
kwahiyo mtu asiumwe homa jamani? nilitegema utasema unatuma ka samsingi nikanunue dawa ila unanilaumu nimelia sana 😥😥

biblia kwa bed? we kuweza hapan kwa kweli siwezii shindwa pepo😂😂😂😂
 
kwahiyo mtu asiumwe homa jamani? nilitegema utasema unatuma ka samsingi nikanunue dawa ila unanilaumu nimelia sana 😥😥

biblia kwa bed? we kuweza hapan kwa kweli siwezii shindwa pepo😂😂😂😂
Homa ulitakiwa uuguzwe sio ujiuguze 😁😁
Dawa yako ilibidi ufike location nilikuambia .

😁😁😁 Biblia kwa bed kiroho safii nalala nayo kama bebiiii
 
Homa ulitakiwa uuguzwe sio ujiuguze 😁😁
Dawa yako ilibidi ufike location nilikuambia .

😁😁😁 Biblia kwa bed kiroho safii nalala nayo kama bebiiii
nguvu zenyewe za kufika huko sina🤭 basi hata ungejisemesha nakuletea juice alf uniibe ila umejidai hautaki kubembelezea au kule jando ulitoroka mwanetu?

hiyo soma mwenyew tu mi nasubiri ya kesho kwenye jumuia👌🤗😇
 
😁😁 nyakuja alfajiri na mapema..

sasa tunanze na simulizi za Lilith..

Lilith ni kiumbe cha kiroho ( spirit being ) , ni moja ya roho za kale kabisa kuwepo katika uumbaji wa Mungu. Lilith alikuwa ni kiumbe cha kiroho kwa ajiri ya kutoa assistance kwa Adamu, kiliyakiwa kiwe under Adam, but kutokana na nature ya creation ya Lilith ( material yaliyotumika kumtengeza yalikuwa mbali na Adamu na kujiona ya kuwa ni bora kuliko Adam na hapo ndipo seke seke lilipo anzia ) 😁😁😁
 
wow eh mambo si ndo hayaaa,, wacha nikae vizuri

tuendelee na seke seke
 
wow eh mambo si ndo hayaaa,, wacha nikae vizuri

tuendelee na seke seke
Yes inaendelea kama kawa...

Adam alipewa mandate ya kutawa kila kiumbe ambacho kilikuwa kiki oparate katika earthly realms, maana yake ilimjumuisha na Lilith mwenyewe, lakini Lilith ( katika namna ya kawaida alikuwa anajiona superiol kuliko Adam kwa namna alivyo umbwa na kwa material aliyo umbwa ) Lilith aliumbwa kwa namna ya kumfanya Adam awe na furaha, aliumbwa kwa namna ya malaika alie contain ( something ndani yake ambavyo vina presense ya furaha na manani ndani yake katika namna ya malaika ), badala yake akawa trouble maker 😁😁😁🙏
 
Back
Top Bottom