Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya,Ulrich Matei amesema wana washikilia watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na bastola moja yenye risasi 15 na mfuko wa manila uliokuwa na nyuki katika eneo la...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Picha hapo chini inaonyesha uhusiano unaotengezwa kati ya viongozi wetu wa kiafrika na Serikali ya China, madhara hatutayaona leo ila baada ya miaka 10-15 tutaanza kuonja machungu...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Gaidi nnaemuongelea mimi sio mlipuaji mabomu au muuwaji bali ni mtu mwenye roho ngumu pale ambapo anahitaji kufanya mambo yake ili afanikiwe. Mada hii inagusa hasa Graduates ambao ndio wanaanza...
19 Reactions
98 Replies
16K Views
Salaam kwenu, Ni watumishi wapya tokea tumeripoti mpaka leo serikali bado haijatulipa chochote. Nadhani ukiajiriwa posho inabidi upewe ili uweze kuendana na hali ya kimazingira. Kuna weingine...
0 Reactions
7 Replies
638 Views
Jamani kioo cha solar kimevunjika baada ya kukuanguka chini!nitapata wapi kioo kingine?au niganyeje?ila inafanya kazi bado!anayejua anisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kuzifahamu gharama za kupata vifaa vya kupigia picha na Tafadhali muhimu kuvitaja ni kipi na kinapatikana kwa bei ipi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani isipoibiwa simu, Ijumaa msikitini! Jumamosi lazima waibiane. Ikatokea sasa kwamba, Ijumaa na Jumamosi hakijatokea kisa cha wizi! Jumapili huko makanisani lazima wataibiana simu kama...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Narudia tena masoud masoud
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wimbo ndo huo hapo chini; Hauruhusiwi, hauruhusiwi, ewe dereva sikia maneno haya usiwe kiziwi, endesha gari ila usipige honi, hauruhusiwi, hauruhusiwi, hauruhusiwi kubonyeza kitufe cha honi...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwa watu wa umri wangu naamini wachache sana tumewahi kukiona kitabu hiki cha hekaya za Abunwasi nikawahi sikia kiliwahi zuiliwa miaka ya nyuma kisichapishwe je kwa wahenga huyu kiumbe Abunwasi...
9 Reactions
168 Replies
75K Views
Habari wana jamiiforums. Sisi wakazi wa jimbo la ukonga tunashukuru kufunguliwa kwa daraja la TAZARA. Kero kubwa iliyobakia kwa sasa ni foleni ya BABANA. Tunaomba kituo cha daladala kwa mabasi...
4 Reactions
193 Replies
26K Views
Kwema wadau? Ni muda sijaandika, nilikuwa nafunga Ndoa, kwa mliokosa Mwaliko jueni kuwa hamkuchanga au michango haikunifikia. Turudi kwenye mada: Kuna watu wanabeza mengi, ikiwemo Hospitali...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
kwanza niseme wazi tu, Tofauti na torch Gari za bei mbaya haikamatwi NA traffic never; Gari Kali za million 300, 400 au 700 unaanzaje kuikamata kwa mfano? yaani trafic hata itokee dharula aipige...
11 Reactions
40 Replies
9K Views
Hapo ukiangalia kwa makini unaona JK amevaa saa mkono wa kulia na Kenyatta amevaa wa kushoto. Yupi yupo sahihi?
2 Reactions
73 Replies
73K Views
This is a Nigerian Evangelist, I was listening to him on you tube. He is condemning pastors who take seeds from their followers. He is saying if you want these poor people to havest what they...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya. Nitarudi hivi punde.
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Niende moja kwa moja katika mada wapendwa wangu. Huwa nilikuwaga na msimamo yakuwa sitanunua gari zilizotumika Tanzania na mara zote nimekuwa nikiagiza mwenyewe kwani watanzania tunahulka fulani...
27 Reactions
213 Replies
34K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikiliwa mwanafunzi anayetuhumiwa kumuua mwenzake mwenye umri wa miaka kumi na tisa wote wakiwa wanasoma Shule ya Sekondari Mteule akituhumiwa kumchoma kisu...
6 Reactions
96 Replies
13K Views
UTANGULIZI Nianze Kwanza kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam hasa wale wa Jimbo la Uchaguzi la Ukonga kwa kufanya Uchaguzi ambao kwa kiasi fulani...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
wakuu, hali ni mbaya sijui nikiwalaumu hawa watu nakosea au nikosahihi, 1. supervisor wangu: isey huyu jamaa ananibana mpaka nashindwa kupumia pamoja nimshkaji wangu ila duuh ka ananisnichi kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…