Anajirekodi akipewa airtime bungeni then anatupia YouTube kuwajulisha wananchi kinachojili bungeni instantly...Mimi sijaelewa hapo ana maanisha nini?
Nchi hii shida tu kuanzia viongozi mpaka sisi wananchi hapo ndiyo namkumbukaAnajirekodi akipewa airtime bungeni then anatupia YouTube kuwajulisha wananchi kinachojili bungeni instantly...
Kuna mambo mawili hapo.Mimi sijaelewa hapo ana maanisha nini?
Mimi pia nikajua ndio anayekuja zungumzwa hapa.Namemkumbuk na masud masud wa TBC taifa.nomb serikali iwakumbuke wakongwe wal maan ni hazina ya taifa