Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,931
Habari wanaJF,
Picha hapo chini inaonyesha uhusiano unaotengezwa kati ya viongozi wetu wa kiafrika na Serikali ya China, madhara hatutayaona leo ila baada ya miaka 10-15 tutaanza kuonja machungu, maana China watacontrol kila kitu katika nchi zetu.
Sina uhakika kama viongozi wetu wanawatumia watu sahihi kusoma mikataba na kuielewa, hivi karibuni Rais Magufuli akiwa ziarani kanda ya ziwa alisikika alidai Gesi ya Mtwara hatufaidiki nayo, kama bado hatujifunzi tutaendelea kujidanganya kufika katika uchumi wa kati katika nchi yetu.
China wanajifanya niwema kwa Africa jambo ambalo si kweli, hakuna Tajiri anatoa hela bure bure tu, anajua zitarudije, so viongozi kuweni makini mnaweza wauzia nchi wachina maana wanajua tunaresources nyingi ambazo wanaweza wakatubana wao ili waziendeshe kufidia madeni.