Shafii Dauda anashikiliwa na jeshi la polisi

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya.

Nitarudi hivi punde.
 
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya.

Nitarudi hivi punde.
Atakua amekwepa izi kod
 
Afu Mods acheni ujinga wa kuondoa hii thread za shafii kila mara
 
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya.

Nitarudi hivi punde.
iv uyu shafii daud ni nan? i mean anajishughulisha na nn ? coz namskia sna but cmjui
 
....itakuwa alishadadia jambo fulani la kisiasa au mtu binafsiiii wakati wa kipindiiiii....nawaza tuuu
 
Hivyo vyanzo vyako nyeti na nyeti zenyewe mpo sawa
Tangu wiki ilioisha wakati hata sasa kapost insta kuhusu game za leo

Labda mwingine sio nimjuae
Page zake katika mitandao zinaendeshwa na watumishi wake acha ushamba kama polepole. Shafii alikuwa kituo cha mabatini ila kahamishwa Leo. Tusubiri habari zaidi.
 
Back
Top Bottom