Kuchoshwa na kazi uliyonayo!

Kuchoshwa na kazi uliyonayo!

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,700
Reaction score
6,492
wakuu,

hali ni mbaya sijui nikiwalaumu hawa watu nakosea au nikosahihi,
1. supervisor wangu: isey huyu jamaa ananibana mpaka nashindwa kupumia pamoja nimshkaji wangu ila duuh ka ananisnichi kwa management.
2. nature ya kampuni: yaan kampuni hizi za kibishi hazitaki kwenda na kasi ya rais kabisa yaani mambo magumu yenyewe yamekomaa tuu utazani bado enzi za Jakaya.
3. Rais wetu; jamani kiukweli nampenda saana mh. ila tangu aingie balaa lake sijawahi ona maana nashuhudia ma redundancy ya kufa mtu kwa majirani zangu mpaka nakaa na hofu zamu yangu lini, jumlisha wafanyabiashara wanavyolia pensheni nayo mpaka miaka sitini laahaulah lakwataaaa.
4. mimi mwenyewe; yaani nimekuamtu wakufanya kazi nje ya uwezo wangu mpaka nashinda njaa utasema kampuni yangu lakini naona hola sijui nimerogwa au kitu gani?
hebu nishaurini tatizo nini hapo na vipi hii hali haijakufikia bado?
 
Ngoja nikanywe uji kwa mama Robhi, labda akili itakaa vizuri, nikirudi nitarudia tena kusoma uzi wako ili nipate kuelewa
 
Kama kazi imekuchosha sio Lazima kuendelea nayo unaweza kuiacha ukafanya jambo lingine
 
Kama kazi imekuchosha sio Lazima kuendelea nayo unaweza kuiacha ukafanya jambo lingine
tatizo sioni cha kufanya mabiashara yanafeli daily, maana nina mchizi wangu alikua boonge la business man ila kafulia kinyama anataka ajira sasa... askuambie mtu maisha ni magumu kila koona
 
tatizo sioni cha kufanya mabiashara yanafeli daily, maana nina mchizi wangu alikua boonge la business man ila kafulia kinyama anataka ajira sasa... askuambie mtu maisha ni magumu kila koona
Basi ndio maana ya ajira inakubidi uvumilie mpk utakapoweza kusimama mwenyewe kuajiriwa ni nusu utumwa
 
Back
Top Bottom