Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kama kichwa cha habari kinavyojielezea nakaribia kuivisha matikiti nov 10 mwaka huu nqhitaji kusafirisha mwenyewe hadi Nairobi niuzie pale inaonekana soko la tikiti ni zuri kuna wakenya wanakuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, ninashangazwa sana na baadhi ya mambo yanayotokea nchini kwetu; 1. Hivi ni kweli ajali inapotokea taarifa kamili ya watu waliokuwemo haijulikani?, rekodi za tiketi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Michezo inamsaidia mtoto kupanua wigo wa kufikiri, kushirikiana na wenzake, kujenga misuli, kuijua dunia inayomzunguka na mengi mengineyo. Bahati mbaya ni kuwa katika maendeleo ya binadamu...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Meli nyingi huzama taratibu hivyo kutoa wasaa Kwa watu wa uokoaji kugawa maboya Kwa wasafiri Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia meli zikipinduka badala ya kuzama,nikitumia id ya mwibamwiba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa kijiji cha Buziba kata ya Nyarugusu mkoani Geita anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuingilia kimwili mara kwa mara mtoto wake wa kike...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
JUST FOR FUNNY
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Watu wameomba kiwekwe choo cha kusimama kwenye public toilet hamsikii, kweli hii ni haki uongozi tena wenye dhamana ya kusimamia afya za watu. Choo cha public hygienically hakifai kuwa cha...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Umri wa Viongozi mbalimbali Dunia: Mahathir: 93 Elizabeth II: 92 Salman: 82 Khamenei: 79 Temer: 77 Buhari: 75 Museveni: 74 Duterte: 73 Trump: 72 Hasina: 70 Netanyahu: 68 Modi: 67 Putin: 65 Xi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Aulizaye ataka kujua: Mbona teuzi zote zinafanya na Rais, sas hii ya Government has appointed Adolf ... and not the President has appointed.......imekaaje /inakujaje APPOINTMENT OF EXECUTIVE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha ya sasa ni maisha yanayobadilika kwa kasi sana.Pesa imekua suluisho na kipaumbele kikubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ukija kwenye mapenzi ndio kabisaa hakuna Binti anaweza kukuelewa...
3 Reactions
219 Replies
19K Views
Akihojiwa katika kipindi cha BBC Swahili, Promota wa bondia Haasn Mwakinyo Rashid Nassor amesema bondia huyo amepata mkataba wa kupigana na mabondia watatu maarufu ambao ni Kell Brook, Amir Khan...
4 Reactions
126 Replies
18K Views
Hizi channel hazionyeshi toka jana jee tatizo ni kwangu tu ama kwa wengine?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wahariri salaam, Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba. Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Hbr wadau, Jana (jumapili)nimepita kwenye junction flyover ya Tazara nikitokea ubungo to Mbagala via Mandela road baada ya kusikia fly over imeeanza nikajua mambo mpeto, maana huwa natumia...
10 Reactions
54 Replies
6K Views
Kama kuna kitu kilichonitoa ushamba Mara ya kwanza kuingia jiji la Mwanza ilikuwa kuziona nyumba zilizo juu milimani,nikajiuliza mlijengaje,watu hawawezi kudondoka hasa watoto,nikajiuliza au watu...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Hii ilikuwa ni 1977 mwanza nikiwa prim school nikiwa kama mtemi na group langu Ali maarufu kama watemi wa kambi siku moja tukiwa wote na kundi letu la watu 8 si nikachokoza jamaa lilikokuwa nalo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Naandika nikiwa na donge/uchungu rohoni , ni hivi kuda mdada anayejiita Fey tanzania instagram. Huyu mdada amekuwa akionyesha mambo ya kitandani hadharani katika acc yake ya insta iitwayo...
3 Reactions
73 Replies
11K Views
Mkurugenzi mtendaji wa halm ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Mahmoud Kambona amesema, baadhi ya madiwani wamekuwa kikwazo kwake kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi Kambona ameyasema hayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii album unaweza isikiliza kila wakati na usichoke. Jamaa kweli ni No1 International praiser. Hail to the king, You'll be my song, God of Abraham, Painter of the sky. aaah Don noma.
2 Reactions
2 Replies
686 Views
Wana JF Kwa mwenye uzoefu ama ufahamu na Oxnyxcoin naomba anipe maelezo kuhusiana na hii kitu
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…