Wakuu habar
Kuna video tofauti tofauti zimesambaa mitandaini zikionyesha vidonge kutoka kwenye glas za chupa ya chai....
Binafsi ningependa kujua kama ni sehemu ya material ya ile glass..au...
1. Umepambana na biashara moja kwa kutia nia kwa zaidi ya miaka 10
2. Hujatumia pesa vibaya
3. Hujapata loose kubwa
4. Unakaa kwenye biashara yako mda wote
5. Hukuwahi badili malengo hapo...
Salaam wakuu,natumai jumapili inaenda vizuri.Bas nielekee moja kwa moja katika mada.
Naombeni ufafanuzi kuhusu hili jambo.Tunafahamu binadamu wa kawaida ni lazima apate haja ndogo au kubwa na hii...
Kama Mada inavyojieleza.
Kwa mawazo yangu, kutoza fine kwa makosa yanayoweza kusababisha maafa ya watu wengi huchangia kuliendeleza tatizo kuliko kulimaliza.
Mfano makosa ya uzembe barabarani kwa...
Nina jirani yangu kaajiliwa wilaya ya Tunduru ,huyu jilani kwao wamezaliwa yeye na mdogo wake ambae sasa yupo chuo ,baba yao alishafariki wakiwa bado wangali wadogo sana kwa sasa wamebakiwa na...
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa...
Pole tanzania, nitashangaa kama kodi ya watanzania itumike kulipa tume . majibu haya hapa
1 kivuko kiligeuzwa Meli wakati designation yake ni kama paton la kigamboni
2 matumizi ya simu wakati wa...
Nazindua maviwanda,mabarabara,majengo ambayo yangezinduliwa na mwenge wa Uhuru tu!
Lakini nashindwa kwenda kutoa faraja kwa ajili ya wenzangu zaidi ya 200 waliofariki. Natuma mwakilishaji
Mungu...
Wasalaam!
Wengi tutakubaliana kuwa serikali inatumia pesa nyingi sana kutengeneza Barbara za lami! Kwa muda sasa magari makubwa yenye uzito mkubwa na ya abiria wanatakiwa kutembea speed 80 kubwa...
Sikatai umbea,ila umbea kidogo kazi nyingi.
Mambo ya msingi ya taifa na mambo ya kiuchumi na kimanufaa hatujadili tumegeukia umbea na majungu tu
Posts za umbeya zinakua na comments za kufa mtu...
Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote...
Nimeangalia Vichwa vya Habari vya leo Jumapili tarehe 23, Septemba 2018 na mpaka sasa hivi nimebaki na ‘ mshangao ‘ mkubwa sana ambao unasindikizwa na ‘ masikitiko ‘ makubwa hasa kwakuwa...
ULIMI RANGI SABA.
Na, Robert Heriel
Ukumbi wote ulikaa kimya. Giza totoro lililokuwa mule ndani lilitosha kuvuta hisia za mtu mwoga. Wote walikuwa wamesujudu wakiwa na majoho meusi yenye makofia...
Huku kwetu sumbawanga tunakokula panya alikuwepo kaka yetu mmoja alikuwa akioa na kuacha yaani hadumu na mke na wake wote aliowaacha baba alilipa mahali zote.
Siku moja alipoacha mke akataka kuoa...
Jumamosi tarehe 15/09/2018 kuna tukio la kitapeli limetokea dukani kwangu. Alikuja mteja, akamkuta mke wangu dukani, akataka kununua extension aina ya tronic ila akajifanya amesahau ni ya matundu...
Habari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika!
Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania.
Kitendo cha wanaume hao...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa natarajiwa kuwasili katika kijiji cha Bwisya Kisiwa cha Ukara kuongoza ibada ya mazishi ya baadhi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere...
Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu.
Inauma sana inasikitisha sana.
Mungu awapokea Kwa amani