Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,591
- 2,383
Habari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika!
Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania.
Kitendo cha wanaume hao kuogopa Giza katika tukio la kupotea kwa ndugu zetu majini. Kwa kweli kama msemaji wa wanaume wa Dar tumewashusha vyeo
Sasa nyie mnaweza nini kama Giza tu mnaogopa! Ama kweli wakuja ni wakuja