Majonzi na simanzi kubwa kwa watanzania wote

Majonzi na simanzi kubwa kwa watanzania wote

luirhu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
800
Reaction score
413
Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu.
Inauma sana inasikitisha sana.
Mungu awapokea Kwa amani
 
Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu.
Inauma sana inasikitisha sana.
Mungu awapokea Kwa amani
Ndio umejua leo???
 
Mimi bado namtafakari aliyetoa amri ya kusitisha zoezi la uokoaji sababu ya giza.
 
Back
Top Bottom