Viongozi wa CHADEMA wamesepa na kijiji huko UKEREWE

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa sijapokea ugeni wowote wa Chama changu kwa ajili ya kunitia moyo na kuonesha wapo pamoja na wanaUkerewe labda tusubiri yawezekana watafika siku ya maziko."

Mh Joseph Mkundi
Mbunge wa Ukerewe CHADEMA
 
Sasa wakienda huko si watakwamatwa mambo kama hayo ccm wanataka wao waonekane wakiingia na chadema lazina yataanza kuvutana.
 
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa sijapokea ugeni wowote wa Chama changu kwa ajili ya kunitia moyo na kuonesha wapo pamoja na wanaUkerewe labda tusubiri yawezekana watafika siku ya maziko."

Mh Joseph Mkundi
Mbunge wa Ukerewe CHADEMA
Kwani nani hakumnukuu waziri wa mambo ya ndani, akidai hataki siasa kwenye jambo hili!!
Wewe unadhani aliwalenga kina nani?!

Mkundi alilalamikia kivuko hiki sana bungeni, nini kimetekelezwa ?!. Mlifikiri mnawakomoa, leo tumejikomoa wenyewe kama nchi .
 
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa sijapokea ugeni wowote wa Chama changu kwa ajili ya kunitia moyo na kuonesha wapo pamoja na wanaUkerewe labda tusubiri yawezekana watafika siku ya maziko."

Mh Joseph Mkundi
Mbunge wa Ukerewe CHADEMA
Mwenyewe unatosha kuwakilisha
 
Huu umbea simlisema hamuitaji siasa katika hili..
Au hamkumsikia jiwe......fyuuuuuuu
 
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa sijapokea ugeni wowote wa Chama changu kwa ajili ya kunitia moyo na kuonesha wapo pamoja na wanaUkerewe labda tusubiri yawezekana watafika siku ya maziko."

Mh Joseph Mkundi
Mbunge wa Ukerewe CHADEMA
Hahaahahaa ebu ungeweka ka clip mnato kama kale alikozungumza bungeni tulimsikia na kumwona pia
 
Back
Top Bottom