koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 982
- 1,612
Salaam wakuu,natumai jumapili inaenda vizuri.Bas nielekee moja kwa moja katika mada.
Naombeni ufafanuzi kuhusu hili jambo.Tunafahamu binadamu wa kawaida ni lazima apate haja ndogo au kubwa na hii hutokea mahali popote ulipo iwe kanisani,kwenye chombo cha usafiri,kazini n.k.Sasa najiuliza hawa viongozi wetu nikimaanisha kuanzia ngazi ya juu kabisa mpaka ya chini katika mikutano mikubwa ambayo anaweza kutumia hata masaa manne au matano akihutubia sijawahi kumuona akiomba dakika kadhaa aende msalani,au amekaa afu badae akainuka kuelekea msalani,hua najiuliza maswali mengi kuna madawa maalum wanatumia ili kuzuia hali hiyo au imekaaje hii,wataalamu naombeni ufafanuzi katika hili.
Nawasilisha.