KWA HILI LA MV NYERERE ATUTAWAELEWA.

KWA HILI LA MV NYERERE ATUTAWAELEWA.

enterior desgner

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
366
Reaction score
181
Kivuko cha Mv.Nyerere kilichozama huko Mwanza jana kinadaiwa kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 tu lakini kilizidisha karibu mara nne ya uwezo wake. Kuna "mazwazwa" wameanza kukwepesha lawama kwa serikali na kuanza kuwabebesha mzigo wafanyakazi wa kivuko hicho eti ni kwanini waliruhusu abiria kuzidi.!

Kuna mambo matano ambayo "mazwazwa" hao wanayakwepa ama makusudi au kwa udogo wa akili zao.

#Mosi; Kama abiria walizidi, serikali haiwezi kukwepa lawama. Mamlaka za usimamizi wa safari za majini zilikua wapi? SUMATRA na watu wa bandari waliruhusuje abiria kuzidi kiwango? Na kwa hali inavyoonesha hii si mara ya kwanza kwa kivuko hiki kuzidisha abiria. It seems ni jambo la kawaida. TPA wapo, SUMATRA wapo, Polisi wapo, wote wanaangalia tu. Baada ya maafa ndipo kila mmoja anajaribu kujitoa kwenye lawama.

Kwa vyovyote serikali kupitia mamlaka zake inapaswa kuwajibika. Nilitegemea RPC Mwanza, Mkuu wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, Mkuu wa bandari ya Ukara, Meneja wa SUMATRA Mwanza, RC Mongela, DC Ukerewe, Waziri wa uchukuzi wawe wameshajiuzulu kama sehemu ya kuonesha uwajibikaji. Lakini zimebaki porojo za kutupiana lawama tu. At the end dereva wa kivuko hicho na wafanyakazi wale wa ngazi za chini ndio watatolewa mhanga, ili kufunika kombe. What a shame?

#Pili; Pamoja na abiria kujaa lakini kivuko cha Mv.Nyerere kilikua kimeshachakaa sana. Kwa miaka mingi kimekuwa kikilalamikiwa kutokana na uchakavu wake. Na kabla hakijazama, kimewahi kusababisha dhoruba kadhaa kikiwa majini. Mwaka 2016 kilizima katikati ya ziwa na kuanza kwenda mrama (bila uelekeo). Mafundi waliokuwepo kwenye kivuko hicho wakasaidiana kufanya matengenezo kikatengemaa na safari ikaendelea. Hata hivyo hii haikua mara ya kwanza kwa kivuko hicho kuzima katikati ya maji. Imewahi kutokea mara kadhaa na kuripotiwa, lakini nani anayejali?

Mbunge wa Ukerewe Mhe.Joseph Mkundi amewahi kulalamikia mara kadhaa uchakavu wa kivuko hicho na kuomba kifanyiwe marekebisho makubwa au kinunuliwe kingine lakini serikali haikumsikiliza (labda kwa kuwa ni kutoka upinzani). Leo serikali inataka kuondolewa kwenye lawama hizi. How?

#Tatu; Huduma ya uokoaji bado ni ya kiwango cha chini sana. Kivuko kimezama just mita 100 kabla ya kutia nanga, lakini watu wameshindwa kuokolewa. Tangu maafa ya Mv.Bukoba yatokee miaka 22 iliyopita Serikali haijajifunza, wala haijajiandaa kukabiliana na majanga kama haya? Hakuna boti za uokozi, hakuna wazamiaji, hakuna teknolojia ya kisasa za uokoaji, lakini mbaya zaidi hakuna hata taa. Ni aibu na inatia kinyaa. Nchi yenye uhuru miaka karibu 60 inakosa taa za kumulika just mita 100 majini?

Jana serikali ilisimamisha zoezi la uokoaji baada ya kukosa taa. Yani ni kama vile iliruhusu manusura waliokuwa wamesalia ziwani hadi majira ya jioni wafe kwa sababu hakukua na taa za kwenda kuwafuata. Waokoaji wakaruhusiwa kwenda kulala majumbani kwao, huku manusura wakihangaika peke yao ziwani bila msaada wowote na wengine wakipoteza maisha.

Leo serikali imekuja kuokota maiti za watu walewale iliowatelekeza jana kwa kuogopa giza. Halafu kuna watu wanasema ajali ni mipango ya Mungu. Hivi hata kutelekeza manusura ziwani kwa kukosa taa ni mipango ya Mungu? Hivi kukosa hata vikosi vya uokoaji ni mipango ya Mungu? Hivi kukosa vifaa vya kisasa vya uokoaji kama boti na Helcopter ni mipango ya Mungu? Hebu kuweni serious kidogo.!

#Nne; Kwa mujibu wa taarifa ya bunge, kivuko hiki kilikua kinahudumia watu 50,000 wakazi wa Bugolora na Ukara. Uwezo wake ni kubeba tani 25 tu sawa na abiria 100 na magari 3 kwa wakati mmoja. Lakini mara zote kimekuwa kikizidisha uzito kutokana na demand kubwa ya wasafiri. Hata jana kilipozama kinadaiwa kilikua na abiria karibu 400 na magunia 100 ya mahindi, yani karibu mara 4 ya uwezo wake.

Kichekesho ni kwamba eti serikali inashangaa ilikuaje kivuko hicho kikazidisha watu kiasi hicho. Yani watu 50,000 wanahitaji huduma ya usafiri then mnawapelekea kivuko cha watu 100 halafu mnashangaa kimezidishaje abiria? Kwani hili linahitaji degree ya uchumi kujua demand ilizidi supply?

Mahitaji yanapokua makubwa kuliko huduma lazima mtoa huduma azidiwe. Hili eneo lilikua linahitaji vivuko angalau viwili vyenye uwezo wa kubeba abiria 800 kila kimoja. Lakini mmewapelekea kivuko cha kubeba watu 100 tu halafu mnashangaa kwanini kimezidisha abiria. Hivi mko serious?

#Tano; Yamekuwepo madai ya muda mrefu kuwa serikali inatumia pesa kwenye mambo yasiyo na tija na kuacha mambo ya msingi yanayogusa maisha ya wananchi. Kuna madai ya kushawishi wabunge na madiwani kuhamia CCM katika kile walichokiita "kuunga mkono juhudi" za serikali.

Taarifa ya Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) inaeleza kuwa gharama za kurudia uchaguzi jimbo moja ni Bilioni 1, na udiwani kata moja ni Milioni 30 hadi 45. Hadi sasa kuna wabunge watano waliojiuzulu kuunga mkono juhudi (Kinondoni, Siha, Monduli, Ukonga na Liwale). Hizi ni Bilioni 5 zimepotea kurudia uchaguzi. Na kuna kata zaidi ya 100 zimerudia uchaguzi baada ya madiwani wao kuunga mkono juhudi. Hizi ni bilioni tatu na nusu.

Jumla ya pesa ambazo serikali imetumia kurudia uchaguzi kwa kigezo cha madiwani na wabunge "kuunga mkono juhudi" ni karibu bilioni 9 hadi sasa. Hizi ni zile zilizotolewa moja kwa moja na NEC kwa ajili ya kuchapisha karatasi za kura na kuwalipa wasimamizi wa uchaguzi. Bado hazijajumuishwa gharama za vyama vya Siasa kufanya kampeni.

Bilioni 9 zilizochezewa na NEC kwenye chaguzi za marudio, zingetosha kabisa kununua kivuko kikubwa na cha kisasa kama hiki cha Mv.Kazi (pichani). Hiki kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 200 kwa wakati mmoja. Kilinunuliwa kwa shilingi Bilioni 7.5 za kitanzania.

Yani bilioni 9 zilizochezewa kwenye uchaguzi na kuwarudishia ubunge watu walewale waliojiuzulu, zingetosha kununua kivuko kikubwa kama hiki cha Mv.Kazi kikapelekwa Ukara. Kingesaidia kubeba watu wengi zaidi na kuepusha maafa yaliyotokea. Lakini kwa kuwa kupanga ni kuchagua, tuliona watu kuunga mkono juhudi ni jambo la muhimu zaidi kuliko "kusave" maisha ya ndugu zetu wa Ukara na maeneo mengine ya nchi.

Ni kama vile maisha ya watanzania sio muhimu sana kama kuchezea pesa kwenye "zugazuga ya demokrasia" iitwayo marudio ya uchaguzi. Bado tuna safari ndefu sana.!
 
Mmhhh uzi wako inaonekana una pointi lakini sijamaliza kusoma ni mrefu sana
 
Alafu ajabu kubwa ni kwamba vitu hivi vinafanywa na watetezi wa wanyonge au maskini.

.....lakini ngoja niendelee kuangalia,labda ya kufurahisha yaja!
 
Jana serikali ilisimamisha zoezi la uokoaji baada ya kukosa taa. Yani ni kama vile iliruhusu manusura waliokuwa wamesalia ziwani hadi majira ya jioni wafe kwa sababu hakukua na taa za kwenda kuwafuata. Waokoaji wakaruhusiwa kwenda kulala majumbani kwao, huku manusura wakihangaika peke yao ziwani bila msaada wowote na wengine wakipoteza maisha.
Pointi hii ndio inawapa sana nguvu wale wanodai ajali hii ni mambo ya kishirikina! Eti kutoana kafara!

Anyways mimi sijui lakini mpaka sasa hakuna hata aliyejiuzuli au kutumbuliwa kweli!!!!!?

Kule Mbeya kuna gari ilikua imetokea Tabora na ubovu wake ikaja kupata ajali ikiwa imeingia mkoani Mbeya, kilichofuatia ni RPC Mpinga kutumbuliwa eti kwanini hakuziona zile breki mbovu za hili gari tangia lilipokua linaingia mkoani kwake!!

Tutayaona na kuyasikia mengi
 
Kwasasa tuzidi kuwaombea waliopoteza maisha Mungu awafanyie wepesi katika safari yao mpya na kuwapumzisha peponi, pili majeruhi wapone haraka waendelee na jukumu la kujenga nchi kila mmoja kwa nafasi yake.

Mengineyo tutayajadili kwa kina baada ya hili kua timelihitimisha.
Kikubwa ni kushauri na kupendekeza suluhisho la kudumu la majanga kama haya katika kuhakikisha kwamba tunazuia ajali at any cost, lakini ikibidi kutokea basi hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha tunaokoa wanaonusurika katika majanga haya.

Tuendelee kusimama imara kama taifa, tuendelee kushirikiana kama taifa.

Huu si wakati rasmi wa kulaumiana, bali tunapashwa kushauriana, kupeana pole na kutiana moyo ili tuvuke kipindi hiki kigumu tunachopitia.
 
Binafsi nasema AJALI hizi zinatokea especially za maajini ni matokeo na mwendelezo wa viongozi wetu kukosa vipaombele sahihi kulingana na mazingira yetu na mahitaji halisi ya nchi yetu

Kuna haja ya viongozi kuzama zaidi kuangalia ni vitu gani ambavyo vinaweza kua na mchango zaidi na kupeleka gurudum la maendeleo mbele

Kwa nchi yetu nasema tatizo sio pesa bali ni viongozi walafi wasio na maono sahihi
 
Usichokijua in kuwa, mtu anaanza uongozi akiwa hana dhambi Ila had I muhura wake uishe laana alizonazo hata shetani anamshangaa.
 
Kivuko cha Mv.Nyerere kilichozama huko Mwanza jana kinadaiwa kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 tu lakini kilizidisha karibu mara nne ya uwezo wake. Kuna "mazwazwa" wameanza kukwepesha lawama kwa serikali na kuanza kuwabebesha mzigo wafanyakazi wa kivuko hicho eti ni kwanini waliruhusu abiria kuzidi.!

Kuna mambo matano ambayo "mazwazwa" hao wanayakwepa ama makusudi au kwa udogo wa akili zao.

#Mosi; Kama abiria walizidi, serikali haiwezi kukwepa lawama. Mamlaka za usimamizi wa safari za majini zilikua wapi? SUMATRA na watu wa bandari waliruhusuje abiria kuzidi kiwango? Na kwa hali inavyoonesha hii si mara ya kwanza kwa kivuko hiki kuzidisha abiria. It seems ni jambo la kawaida. TPA wapo, SUMATRA wapo, Polisi wapo, wote wanaangalia tu. Baada ya maafa ndipo kila mmoja anajaribu kujitoa kwenye lawama.

Kwa vyovyote serikali kupitia mamlaka zake inapaswa kuwajibika. Nilitegemea RPC Mwanza, Mkuu wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, Mkuu wa bandari ya Ukara, Meneja wa SUMATRA Mwanza, RC Mongela, DC Ukerewe, Waziri wa uchukuzi wawe wameshajiuzulu kama sehemu ya kuonesha uwajibikaji. Lakini zimebaki porojo za kutupiana lawama tu. At the end dereva wa kivuko hicho na wafanyakazi wale wa ngazi za chini ndio watatolewa mhanga, ili kufunika kombe. What a shame?

#Pili; Pamoja na abiria kujaa lakini kivuko cha Mv.Nyerere kilikua kimeshachakaa sana. Kwa miaka mingi kimekuwa kikilalamikiwa kutokana na uchakavu wake. Na kabla hakijazama, kimewahi kusababisha dhoruba kadhaa kikiwa majini. Mwaka 2016 kilizima katikati ya ziwa na kuanza kwenda mrama (bila uelekeo). Mafundi waliokuwepo kwenye kivuko hicho wakasaidiana kufanya matengenezo kikatengemaa na safari ikaendelea. Hata hivyo hii haikua mara ya kwanza kwa kivuko hicho kuzima katikati ya maji. Imewahi kutokea mara kadhaa na kuripotiwa, lakini nani anayejali?

Mbunge wa Ukerewe Mhe.Joseph Mkundi amewahi kulalamikia mara kadhaa uchakavu wa kivuko hicho na kuomba kifanyiwe marekebisho makubwa au kinunuliwe kingine lakini serikali haikumsikiliza (labda kwa kuwa ni kutoka upinzani). Leo serikali inataka kuondolewa kwenye lawama hizi. How?

#Tatu; Huduma ya uokoaji bado ni ya kiwango cha chini sana. Kivuko kimezama just mita 100 kabla ya kutia nanga, lakini watu wameshindwa kuokolewa. Tangu maafa ya Mv.Bukoba yatokee miaka 22 iliyopita Serikali haijajifunza, wala haijajiandaa kukabiliana na majanga kama haya? Hakuna boti za uokozi, hakuna wazamiaji, hakuna teknolojia ya kisasa za uokoaji, lakini mbaya zaidi hakuna hata taa. Ni aibu na inatia kinyaa. Nchi yenye uhuru miaka karibu 60 inakosa taa za kumulika just mita 100 majini?

Jana serikali ilisimamisha zoezi la uokoaji baada ya kukosa taa. Yani ni kama vile iliruhusu manusura waliokuwa wamesalia ziwani hadi majira ya jioni wafe kwa sababu hakukua na taa za kwenda kuwafuata. Waokoaji wakaruhusiwa kwenda kulala majumbani kwao, huku manusura wakihangaika peke yao ziwani bila msaada wowote na wengine wakipoteza maisha.

Leo serikali imekuja kuokota maiti za watu walewale iliowatelekeza jana kwa kuogopa giza. Halafu kuna watu wanasema ajali ni mipango ya Mungu. Hivi hata kutelekeza manusura ziwani kwa kukosa taa ni mipango ya Mungu? Hivi kukosa hata vikosi vya uokoaji ni mipango ya Mungu? Hivi kukosa vifaa vya kisasa vya uokoaji kama boti na Helcopter ni mipango ya Mungu? Hebu kuweni serious kidogo.!

#Nne; Kwa mujibu wa taarifa ya bunge, kivuko hiki kilikua kinahudumia watu 50,000 wakazi wa Bugolora na Ukara. Uwezo wake ni kubeba tani 25 tu sawa na abiria 100 na magari 3 kwa wakati mmoja. Lakini mara zote kimekuwa kikizidisha uzito kutokana na demand kubwa ya wasafiri. Hata jana kilipozama kinadaiwa kilikua na abiria karibu 400 na magunia 100 ya mahindi, yani karibu mara 4 ya uwezo wake.

Kichekesho ni kwamba eti serikali inashangaa ilikuaje kivuko hicho kikazidisha watu kiasi hicho. Yani watu 50,000 wanahitaji huduma ya usafiri then mnawapelekea kivuko cha watu 100 halafu mnashangaa kimezidishaje abiria? Kwani hili linahitaji degree ya uchumi kujua demand ilizidi supply?

Mahitaji yanapokua makubwa kuliko huduma lazima mtoa huduma azidiwe. Hili eneo lilikua linahitaji vivuko angalau viwili vyenye uwezo wa kubeba abiria 800 kila kimoja. Lakini mmewapelekea kivuko cha kubeba watu 100 tu halafu mnashangaa kwanini kimezidisha abiria. Hivi mko serious?

#Tano; Yamekuwepo madai ya muda mrefu kuwa serikali inatumia pesa kwenye mambo yasiyo na tija na kuacha mambo ya msingi yanayogusa maisha ya wananchi. Kuna madai ya kushawishi wabunge na madiwani kuhamia CCM katika kile walichokiita "kuunga mkono juhudi" za serikali.

Taarifa ya Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) inaeleza kuwa gharama za kurudia uchaguzi jimbo moja ni Bilioni 1, na udiwani kata moja ni Milioni 30 hadi 45. Hadi sasa kuna wabunge watano waliojiuzulu kuunga mkono juhudi (Kinondoni, Siha, Monduli, Ukonga na Liwale). Hizi ni Bilioni 5 zimepotea kurudia uchaguzi. Na kuna kata zaidi ya 100 zimerudia uchaguzi baada ya madiwani wao kuunga mkono juhudi. Hizi ni bilioni tatu na nusu.

Jumla ya pesa ambazo serikali imetumia kurudia uchaguzi kwa kigezo cha madiwani na wabunge "kuunga mkono juhudi" ni karibu bilioni 9 hadi sasa. Hizi ni zile zilizotolewa moja kwa moja na NEC kwa ajili ya kuchapisha karatasi za kura na kuwalipa wasimamizi wa uchaguzi. Bado hazijajumuishwa gharama za vyama vya Siasa kufanya kampeni.

Bilioni 9 zilizochezewa na NEC kwenye chaguzi za marudio, zingetosha kabisa kununua kivuko kikubwa na cha kisasa kama hiki cha Mv.Kazi (pichani). Hiki kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 200 kwa wakati mmoja. Kilinunuliwa kwa shilingi Bilioni 7.5 za kitanzania.

Yani bilioni 9 zilizochezewa kwenye uchaguzi na kuwarudishia ubunge watu walewale waliojiuzulu, zingetosha kununua kivuko kikubwa kama hiki cha Mv.Kazi kikapelekwa Ukara. Kingesaidia kubeba watu wengi zaidi na kuepusha maafa yaliyotokea. Lakini kwa kuwa kupanga ni kuchagua, tuliona watu kuunga mkono juhudi ni jambo la muhimu zaidi kuliko "kusave" maisha ya ndugu zetu wa Ukara na maeneo mengine ya nchi.

Ni kama vile maisha ya watanzania sio muhimu sana kama kuchezea pesa kwenye "zugazuga ya demokrasia" iitwayo marudio ya uchaguzi. Bado tuna safari ndefu sana.!
Heko kwa andiko zuri.
 
Mkuu uko sahihi kabisa tangu MV Bukoba izame miaka 22 iliyopita bado hatuna waokoaji.Wanajeshi wetu hata kuogelea hawajui .Wamevaa nguo za misituni baharini.Hatuna hata helikopta za uokoaji.Bado watu hawajawajibishwa kuanzia Waziri mpaka wa chini kabisa.Tunaendelea na matamko ya mihemko na kutoana kafara.
 
Swadakta umeongea point za ukweli.
 
Kwasasa tuzidi kuwaombea waliopoteza maisha Mungu awafanyie wepesi katika safari yao mpya na kuwapumzisha peponi, pili majeruhi wapone haraka waendelee na jukumu la kujenga nchi kila mmoja kwa nafasi yake.

Mengineyo tutayajadili kwa kina baada ya hili kua timelihitimisha.
Kikubwa ni kushauri na kupendekeza suluhisho la kudumu la majanga kama haya katika kuhakikisha kwamba tunazuia ajali at any cost, lakini ikibidi kutokea basi hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha tunaokoa wanaonusurika katika majanga haya.

Tuendelee kusimama imara kama taifa, tuendelee kushirikiana kama taifa.

Huu si wakati rasmi wa kulaumiana, bali tunapashwa kushauriana, kupeana pole na kutiana moyo ili tuvuke kipindi hiki kigumu tunachopitia.
Ulichoandika ni sahihi. Lakini cha kujiuliza ni kama huko nyuma baada ya ajali kama ya MV. Bukoba, Spice Islanders, MV. Skagit n.k hakujawahi kutolewa ripoti za tume za uchunguzi zenye mapendekezo ya suluhu ya kukomesha ajali za namna hiyo? Au unataka kusema hayo mapendekezo yote yalifanyiwa kazi na sasa kunahitajika mapendekezo mapya? Hata kama itaonekana kwa sasa si wakati muafaka wa kulaumiana au tuseme kulaumu lakini hili jambo liko wazi kabisa kwamba wamiliki wa chombo (Temesa/serikali) ni wa kwanza kulaumiwa kwa sababu nyingi lakini moja ikiwa ni kubeba abiria au mzigo zaidi ya uwezo wake huku wao wakifumbia macho jambo hilo siku zote. Taasisi zingine kama SUMATRA (kwa sasa baada ya kuigawa mara mbili sijajua hiyo inayosimamia usafiri wa majini inaitwaje) na pia marine surveyor wote wanastajili lawama na hapo bado yale mapungufu yaliyojitokeza kwenye uokoaji ambayo pia yanastaajabisha.
 
Wacha watu wafanye mambo ya maana kwanza ununuzi wa kivuko sio kipaumbele...
Screenshot_20180915-175143.jpg
 
Back
Top Bottom