Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hali imekuwa mbaya sana kwa maeneo tajwa hapo juu. Wezi wamekuwa wakivunja nyumba na kuingia ndani kuiba TV na vyombo vingine vya ndani. Mifugo pia imekuwa ikiibwa, yaani watu wanaiba zizi zima la...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
RC HAPI ABAINI MADUDU MANISPAA YA IRINGA Udhaifu, upigaji kwenye miradi inayosimamiwa na manispaa vyabainika. Migogoro ya ardhi Kihesa yateka mkutano Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amefichua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zaidi ya watu milioni 3 walikufa kutokana na matumizi ya pombe mwaka wa 2016, sawasawa na kifo 1 kati ya 20 duniani kote, kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani. Zaidi ya asilimia 75...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalam wakuu, Kama uzi unavyojieleza nashukuru Mungu ndoto yangu ya kumiliki usafiri binafsi imetimia na sasa natamba barabarani, well lengo sio kuonyesha kama nimenunua gari lakini nilikuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jaroslav bobrowski (30) wa Ujerumani amefungiwa kula katika mgahawa mmoja nchini humo baada ya kumaliza sahani 100 za chakula, Bobrowski huwa hali chochote kwa muda wa masaa 20,hivyo anapoamua...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Jacinda Ardern AKIWA amefuatana na mwanaye mchanga na mpenzi wake katika ukumbi wa mkutano, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern, ametoa hotuba yake ya kwanza katika Baraza Kuu la Umoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ni Siku kama ya Saba ( 7 ) kulitokea Ajali mbaya sana ya Treni hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo ambayo hadi hivi sasa Watu kama 300 wamepoteza maisha huku ikisemekana kuna Abiria wengine '...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Muuguzu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwa na mama wa watoto mapacha waliotenganishwa hospitali hapo hivi karibuni baada ya kutenganishwa na taarifa toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Muhimbili...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zinakufikia kuwa ndugu, rafiki au jamaa yako ni mgonjwa na hajafanikiwa kupata matibabu vizuri kutokana na uhaba wa fedha. Kutokana na hali yako ya kifedha kutokuwa nzuri kwa sababu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tazama walivyojazana kwenye kivuko hicho
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeambiwa kuwa kuna tofauti ya Wahudhuriaji wa matukio wa ' hiari ' yao na wale ambao Wanahudhuria ama kwa ' Kulazimishwa ' au kwa ' Kuahidiwa ' kupewa Chai, Maharage, Soda, Usafiri na Chakula...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NIngependa kutoa wito kwa Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, aongeze bidii katika kuufanya mkoa wa Dar es Salaam uwe wa kijani zaidi kwa kufanya kampeni ya upandani miti na maua eneo la...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
TCU imevifuta vyuo vikuu viwili kikiwemo cha Teofilo Kisanji (TEKU) cha Tabora na Mtakatifu Yohana (SJUT) cha Msalato Dodoma. Tume imeamuru wanafunzi waliokuwa wanasoma vyuo hivyo kuhamishwa kabla...
2 Reactions
64 Replies
19K Views
Hapo zamani kidogo kulikuepo mfalme ambae aliongoza nchi fulani, Mfalme huyo aliongoza kwa weledi mkubwa huku akiwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi wake. Siku moja mfale huyo aliwaamuru walinzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu 35 ambao ni wanakijiji wa Magange Wilayani Serengeti, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaua watu watatu waliodaiwa kuiba ng'ombe. Waliouliwa ni Magori Nyamhanga na Nyangeresi Mahemba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakuna kitu kikubwa na muhimu humu duniani kama kuishi ukiwafanya watu wanaokuzunguka pasipo ubaguzi wowote ( Walemavu na wale walio na mahitaji kama yatima na wazee) kuwa na furaha na amani...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanikiwa kufanya upasuaji wa kutenganisha mapacha walioungana, waliozaliwa Kisarawe mkoani Pwani, Julai 12, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…