Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

Gusi 01

Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
19
Reaction score
9
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
 
Kwa sababu ipi nani kazungumzia uhamiaji hapo
 
Una cheti cha Kuzaliwa cha bibi mzaa babu Yako "'?
 
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
Stahili ya pongezi huwa na maana pale mtu anapovuka malengo kwa kutumia vigezo vilevile vilivyowekwa. Nje ya hapo pongezi zote ni hewa tupu.
 
Back
Top Bottom