Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni nani anaetaka dunia iende kwa favour yake? Ni nani ana panga sytstem, structures and njia za maisha? eli -DEFIANT- cohen Mshana Jr Castle_Lite Maxence Melo
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Habarini polisi wa tanzania japo mumekuwa kwenye katiba ya CCM sehemu yao. Kuna jambo la kujifunza sana maana ndio kitengo duniani kinachukiwa na kuwa na lawama tokea mlipo shiriki kumtesa Yesu...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Kwa miaka yote tangu nakua nimekua nahudhuria hizi Ibada kwenye haya makanisa ila Hadi nakua mtu mzima na kupata akili nimegundua Kuna uongo mwingi sana na kupotezeana muda. Usanii na utapeli...
3 Reactions
13 Replies
735 Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu...
0 Reactions
2 Replies
133 Views
Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani. Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Tunakataa kufanya matambiko na kuabudu mizimu yetu ila tuko bize kuabudu mizimu ya kizungu na kiarabu. Hii sio sawa. Tujisahihishe.
4 Reactions
11 Replies
215 Views
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo. Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril. Swali langu, 1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana...
6 Reactions
270 Replies
3K Views
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo. Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia. Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania. Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa...
1 Reactions
1 Replies
119 Views
Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja. Mtindo huu...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa...
0 Reactions
12 Replies
223 Views
wasaalam tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo...
6 Reactions
31 Replies
515 Views
Wanachama wa JF na X ni wale wale na ni nadra kumkuta mtu akiwa hana izo apps kwa pamoja,pia maisha ya hii mitandao inakalibiana,sifa za watumiaji zinafanana,mwisho hua wote wawili huchukiwa na...
4 Reactions
7 Replies
161 Views
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende. Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni...
12 Reactions
126 Replies
2K Views
Leo tarehe 17 Mei 2026, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tamko zito ambalo linatugusa sisi Watanzania moja kwa moja. WHO imetangaza rasmi kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea katika...
1 Reactions
3 Replies
215 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…