Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 5 walioteliwa na Wakuu wa Nchi zao kuziwakilisha nchi hizo hapa nchini. Nchi hizo ni Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait.
TRA KUANZA KUWAKATA KODI WASHINDI WA MICHEZO YA KWENYE 'CASINO'
> Kila mtu atakayeshinda katika mchezo wa kubahatisha unaofanyika kwenye casino atapaswa kulipa kodi kabla ya kuendelea
>...
Shule hii iko Kimara _Suka Dar Es Salaam,shule iko hovyo sana,hakuna utaratibu unaoeleweka.Ada zinapandishwa muda wowote wakijisikia,Wakifunga shule hawatoi report za matokeo ya mitihani na hata...
Ripoti ajali ya meli yatolewa Zanzibar
19 Januari 2012 17:58
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi
wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo
Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi...
Kijiji cha Chekanao Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, hakina mpango Wa matumizi bora ya ardhi.
Kutokuwa na mpango huo kumeibuka mgogoro mingi kijijini hapo ikiwemo ya wakulima na wafugaji...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Hazina, Patrick Cheche na walimu wenzake wanne wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuwapa maudhui ya mtihani wa taifa wa darasa la saba watahiniwa...
Kama kichwa kinavyo jieza hapo juu
nakumbuka sikumoja niko mkoa fulani kwenye miangaiko nika kikutana na dem fulani nikaenda kuka gegeda dah nimepiga mzigo nikawa nimechoka nikachukuwa maji kama...
Ukiangalia suala la udanganyifu wa mitihani ya drs la 7 kwa shule za umma serikali inaweza ikawa imechangia kwa kiasi kikubwa. Sababu kubwa ni posho za walimu wakuu laki 2 ambapo walimu wakuu...
Naomba kupendekeza jambo moja ambalo sidhani kama linapewa kipaumbele sana kwenye jamii zetu. Sijui ni kwa sababu ya kupuuzia au kuona jambo hili ni dogo.
Kufanya kazi za ndani ni ajira isiyo...
Mimi ni mwafrika ambaye niliwahi kuishi ubeligiji kwa miaka kadhaa 2003-7, najua kila kinachoendelea ubeligiji hasa kwa suala la ubaguzi dhidi ya Mtu mweusi, mtaani unaitwa majina yote machafu...
Hahahah nianze kwa kucheka Mara baada ya kuwa mkoan kwa mda mrefu kikaz, nilikuwa napata hasira sana nnapoingia mitandaoni, (social networks) hasa Instagram , kutaman sana maisha niliyoyaacha...
Habari za mda huu wana jf wenzangu,naomba kujuzwa juu ya hii huduma ya M-pesa master card.Je inakubali kutoa pesa kwenye card na kuweka kwenye paypal kama card zingine za malipo? kwa wazoefu wa...
Kuna wizi ulikithiri nchini kwa sasa ambao wengi hatujui nao ni biashara za uwekezaji wa mitandaoni ( online investment ) .
Wengi wameshalizwa na kila kukicha bado watu wanalizwa , kampuni tofauti...
Ndio nawaambia wazee/ mzee baba msipende kuwadharau watoto na vijana kuwa hawana uwezo au kipaji Fulani.
Hebu tuambiane waliowadharau akina almasi na kundi lake wako wapi wao sasa hivi?
Wanafunzi wa shule ya kukuza vipaji ya Raregem
Iwapo una wasiwasi kuhusu uwezo wa mtoto wako kusoma, na kuandika, na ni wasiwasi ambao umegusiwa na watu walio karibu na mtoto...
- Najuaje kama mtu nliyemuazima gari alifanya kosa akaandikiwa halafu hajasema
-Deni liaongezekaje
-Je, anaweza kuandikiwa yeye (leseni) au gari?
Msaada plz
Wale mafundi wenzangu wa umeme
Nilifanya hii kazi ya ufundi kwa miaka3 mfulululizo kabla cijaingia kwenye biashara ya samaki ambayo inalipa sana na wengi hawajui.
Point ya msingi siku hizi kuna...
Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kupunguza vituo vya ukaguzi wa magari visivyo na lazima ambavyo vimeonekana kutumiwa vibaya na...