Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata kama tunasema hali ni safii kwa kutumia njia tofauti lakini hali halisi inapingana na kauli zetu. Kwanini tunatumia nguvu nyingi kulaumu, kuzuia na kuchukulia hatua watu wanaokwenda kuuza...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kicha anza zako tu Kutiririka na Kuserereka kama Gari la Mashindano. Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu wakuu. Naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu manunuzi kupitia JUMIA. Mimi nipo mkoani, kuna bidhaa kadhaa nimeziona Jumia na nimekuwa interested kuzinunua lakini nafsi inasita hasa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa niombeeni mwenzenu daah sina amani kabisa kwa mara ya pili kila nilalapo mchana naota ndoto za ajabu ,kuhusu kifo tu maana juzi nimeota etti nipo katika harakati za kutafuta shilingi ndo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni kawaida katika nchi zilizoendelea kama USA ana Uingereza kwa watu kupewa tuzo ya heshima ya taifa kwa vitendo vya ujasiri wanavyofanya. Kuhusu Bishompa Sendema ambaye alisimulia alivyookoa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
WIZARA ya Elimu nchini imeahidi kusambaza kompyuta mpakato kwa walimu 400 kila mwaka, kwa ajili ya kusaidia kupata uelewa wa masuala ya Teknolojia ya H abari na Mawasiliano (Tehama) na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalam tunaomba your experience on how to solve such situation.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa hakika kuna raha na karaha katika vituo hivi, kwani wapo waendeshaji wa vituo hivi wenye maslahi binafsi na wapo wanaotafuta radhi za Mola wao kwa shughuli hii. Kwa upande wangu nimepita...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nilimchukua mtoto wa ndugu yangu ambaye alikuwa amechelewa sana kuanza darasa la kwanza. Nilipomuanzisha darasa la kwanza dogo alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kimasomo.. Alipofika darasa la sita...
2 Reactions
81 Replies
12K Views
Kumetokea mapigano baina ya Askari was Wanyamapori wa Ruaha National Park na Wafugaji yaliyopelekea vifo vya Wafugaji na Askari Wanyamapori, wenye Uzi uliokamilika kwenye hili tujuze zaidi
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Binadamu ameumbwa, amefanywa kua na akili, zaidi amepewa uwezo wa kutumia akili hiyo mwenyewe (individuality). Matumizi huru ya akili kwa kila mwanadamu yanapelekea kuwepo na mitazamo tofauti...
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Mara kadhaa tumeona watu wengi na hasa wanasiasa , Waganga wa jadi au hata watabiri wa nyota wakirithisha watoto wao " utaalam " pamoja na vyeo vya kisiasa , Lakini hali ni tofauti kwa Magwiji wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi huyu Shana nani kampa kibali cha kuua? Maana kaua walioiba gari Costa kahama leo tena itv wanataarifu kuuawa waliokuwa guest house wamepumzika eti wanadhaniwa kuwa majambazi. Tena anajigamba...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Huu Uzi ni muhimu hasa katika sekta ya uokozi kwenye majanga... Mimi binafsi nayajua maji vizuri sana na nayaheshimu sana ukikosea na ukapanic ndani ya dakika unapotea. Hoja yangu kuu ni swala...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Abiria katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wamegoma kupanda vivuko vya MV.Sabasaba na MV.Ukara na kutishia kuviponda mawe wakidai kuwa na mashaka juu ya usalama wa vivuko hivyo.
6 Reactions
85 Replies
20K Views
Zifuatazo Ni Kanuni 6 Mafanikio Za Kutoka Kwa matajiri wakubwa ulimwenguni 1. Jiamini wewe mwenyewe. Watu wengi mara nyingi hutafuta ushauri wamafanikio kwa watu mbalimbali ili kuwafanikisha. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu hao Wamekamatwa kutokana na opereshini inayoendeshwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo maarufu kwa jina la 'Opereshini Hekaheka Vijiweni' Kamanda wa Polisi, Gilles Muroto amesema leo Oktoba 09...
3 Reactions
54 Replies
12K Views
Habari wana jamvi! Naomba kufahamishwa, hivi watu mliowahi kwenda Mbudya kuna mambo gani yanayofanyika huko? Nina marafiki wengi huwa nikiwaomba wanionyeshe hata picha za huko hakuna anayeonesha...
3 Reactions
45 Replies
24K Views
Inasikitisha kuona jeshi la polisi likitafuta kiki!Sioni msingi wa kukamata watuhumiwa na kuwaanika mbele ya vyombo vya habari!Yaani kabla ya kuwafikisha mahakamani tayari wanakuwa washahukumiwa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hivi kuna ukweli juu ya hizi pesa zinazotolewa na makampuni ya michezo ya kubahatisha kama tatu mzuka na biko. Kila wiki wanatoa zaidi ya milioni 200, kweli source zao zinaingiza pesa nyingi kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…