Jumia (Biashara kwa njia ya mtandao)

Jumia (Biashara kwa njia ya mtandao)

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
5,373
Reaction score
4,141
Poleni kwa majukumu wakuu. Naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu manunuzi kupitia JUMIA.

Mimi nipo mkoani, kuna bidhaa kadhaa nimeziona Jumia na nimekuwa interested kuzinunua lakini nafsi inasita hasa nikifikiria suala la usalama na uaminifu.

Kwa mliowahi kununua hebu nipeni uzoefu wenu mniondoe mashaka yangu.
 
Niliwahi kujaribu mwaka juzi na bidhaa niliyoagiza ilinifikia. Na kulikuwa na option ya kulipia baada ya kupata mzigo. Sijajua kwa sasa wanafanyaje
 
Ulikuwa mkoani pia mkuu?
 
Nunua wako trusted, siendi dukani eti kununua mkanda wa suruali ataniletea nilipo, ndio kazi ya hela.
 
Mie Jumia nanunuaga na kuagiza misosi..na unanifikia ndani ya dk 30.
Ni waaminifu sana mkuu.
Jumia Food
 
Poleni kwa majukumu wakuu. Naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu manunuzi kupitia JUMIA.

Mimi nipo mkoani, kuna bidhaa kadhaa nimeziona Jumia na nimekuwa interested kuzinunua lakini nafsi inasita hasa nikifikiria suala la usalama na uaminifu.

Kwa mliowahi kununua hebu nipeni uzoefu wenu mniondoe mashaka yangu.
Jisajili kisha agiza, na malipo ukipokea mzigo, wako vizuri.
 
Poleni kwa majukumu wakuu. Naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu manunuzi kupitia JUMIA.

Mimi nipo mkoani, kuna bidhaa kadhaa nimeziona Jumia na nimekuwa interested kuzinunua lakini nafsi inasita hasa nikifikiria suala la usalama na uaminifu.

Kwa mliowahi kununua hebu nipeni uzoefu wenu mniondoe mashaka yangu.
Agiza tu, wako vizuri na ni waaminifu, binafsi nimeshaagiza mara kibao na viliinifikia kwa wakati
 
Unafanyaje kuagiza na unalipa baada ya kupokea mzigo au kabla?
Unalipa baada ya kupokea mzigo wako na kuuhakiki! Ila mi kuna kipindi nilizinguana na wakala wao mmoja baada ya kutoridhika na moja ya bidhaa nilizoagiza,nikamtaka arudishe akawa kama anagoma hivi,lakini baadaye alikubali shingo upande,sasa cha ajabu kutokea hapo nikawa nikiagiza mzigo hawanitumii,nimesikitika sana! Binafsi nawaamini kabisa!
 
Sijaona Option ya pay after delivery. Nahisi wameiondoa.

Shda ya jumia ukiagiza mzgo unahakiki
Hapo kwenye picha kabsa kuwa unachokiona
Ndo hcho hicho unaletewa ndo maana wanakwambia confirm before uagize

Na ujinga yao n kuwa unalipishwa had delivery
Hapo ndo wanaboa zaid
 
Niliagiza saa nikiwa arusha nikalipa 8,000tsh delivery,hiyo ya ku confirm kwa picha siyo fresh!nilinunua simu nikakuta haisomi sim card! Lakini ndiyo hiyo hiyo niliyoiona kwenye picha.
 
Matatizo ndyo kama hayo Sasa
Sim umelipa expensive af unakuta kama
Hvo sim card haisom!

Hyo hasara n kwako maana
Hawariludish pesa now unalipa ndo unaletewa
 
Back
Top Bottom