Vituo vya kulelea watoto yatima

mkorobwe

Member
Sep 28, 2018
38
32
Kwa hakika kuna raha na karaha katika vituo hivi, kwani wapo waendeshaji wa vituo hivi wenye maslahi binafsi na wapo wanaotafuta radhi za Mola wao kwa shughuli hii.

Kwa upande wangu nimepita katika kituo kimoja kinaitwa New Life Orphans home. kwa kweli mlezi wa kituo hiki ni wa kupigiwa mfano. amejitoa kuifanya shughuli hii kwa hali na mali. Jee nawe umepitia katika vituo hivi?

Karibu tu share uzoefu.

j
 
LAITI KAMA TUNGEKUWA NA UPENDO WA KWELI BASI SIDHANI KAMA KUNGEKUWA NA HAJA YA VITUO KAMA HIVI.
 
LAITI KAMA TUNGEKUWA NA UPENDO WA KWELI BASI SIDHANI KAMA KUNGEKUWA NA HAJA YA VITUO KAMA HIVI.
ni kweli lakini upendo usingeondoa vituo hivi moja kwa moja. kwa mfano pale kituoni wapo waliopotelewa na jamaa zao Ubungo na ni wadogo hawajui hata watokako
 
sio promo kweli
ni kweli lakini upendo usingeondoa vituo hivi moja kwa moja. kwa mfano pale kituoni wapo waliopotelewa na jamaa zao Ubungo na ni wadogo hawajui hata watokako

ila pia na declare kua upendo umepungua kwani wako baadhi ya watoto waliopelekwa na dada zao, shangazi zao bali hata baba zao wadogo mpaka unajiuuliza inakuwaje jamaa wa karibu kam hawa wameshindwa kuwalea.
 
Kama ambavyo umesema wengi ni wachumia tumbo, wanangoja misaada na ruzuku mbalimbali kama sehemu ya ajira yao
 
Back
Top Bottom