Kinachofanywa na Jeshi la Polisi ni udhalilishaji!

Kinachofanywa na Jeshi la Polisi ni udhalilishaji!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,573
Inasikitisha kuona jeshi la polisi likitafuta kiki!Sioni msingi wa kukamata watuhumiwa na kuwaanika mbele ya vyombo vya habari!Yaani kabla ya kuwafikisha mahakamani tayari wanakuwa washahukumiwa na jeshi la polisi!
Kama ni kutoa taarifa si mtoe bila kuwaanika watuhumiwa????Huu utaratibu wa kiki awamu hii mnavunja haki za msingi za watuhumiwa!



 
Hata anayetakiwa kuithibitishia mahakama uhalifu wa mtuhumiwa ni polisi huyo huyo,kimsingi wao ndio wanaohukumu mahakama ipo kiutendaji tu.
 
Wanaanikwa mbele ya vyombo vya habari na kupigwa makofi live juu!....ila wa kulaumiwa zaidi ni sisi wananchi kwa kukaa kimya na kufumbia macho uhalifu huu!!
 
Kuna watu walipokelewa polisi kisa tu ni warefu na wamejazia vifua..
 
Kuna watu walipokelewa polisi kisa tu ni warefu na wamejazia vifua..
 
Mi naona Sawa ksb hata wao wanavyotuibia hutudhalilisha
Umeshahukumu,nakumbuka nikiwa UDSM kipindi hicho kuna mdada aliwahi kumuita boyfriend wake mwizi ili buzi lake lisimteme,kilichotokea ni huyo kaka kushushiwa kipigo!Mpaka watu wanakuja kujua issue nzima,yule kaka alikuwa tayari marehemu!
Ndio maana tuna mahakama zinazosimamia kesi bila mihemko!
Usiombe uww in the wrong place in the wrong time,unaweza kujikuta unatokea hivi hivi kwenye TV!
 
Mhalifu halafu ufichwe...kamanda Muroto kasema kbs tumekata malaya.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila si wamejiajiri? Ni kama na wao wanamiliki viwanda!
 
Inasikitisha kuona jeshi la polisi likitafuta kiki!Sioni msingi wa kukamata watuhumiwa na kuwaanika mbele ya vyombo vya habari!Yaani kabla ya kuwafikisha mahakamani tayari wanakuwa washahukumiwa na jeshi la polisi!
Kama ni kutoa taarifa si mtoe bila kuwaanika watuhumiwa????Huu utaratibu wa kiki awamu hii mnavunja haki za msingi za watuhumiwa!




Huyo wakutoka Mbeya amepigwa kofi kumbe sheria inaruhusu mtuhumiwa akikamatwa tumhukumu kwa niaba ya mahakama; Lakini kuwaonesha watuhumiwa kwa lugha ya kejeri kunaondoa haki ya mtuhumiwa, kama ni sahihi wafungwe bila kupelekwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom