PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Hivi kuna ukweli juu ya hizi pesa zinazotolewa na makampuni ya michezo ya kubahatisha kama tatu mzuka na biko.
Kila wiki wanatoa zaidi ya milioni 200, kweli source zao zinaingiza pesa nyingi kiasi hicho kiasi kwamba wanaenda kwa faida tu.
Au kuna usanii ndani yake hasa namana wanavyowapata washindi na kuwapa pesa. Kiukweli kwa michezo hii bora kutia mkeka game zangu mbili mpira unachezwa naona, option kibao hata nikibet no penati ama booking over, ninauhakika mkubwa wa kupiga hela,
Mnaocheza tatu mzuka na biko mtaliwa sanaaa