Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha ameitaka Mamlaka ya Elimu Tanzania, (TEA) kuanza kutumia utaratibu wa Force Akaunti katika utekelezaji wa miradi ya Elimu...
One day a farmer's donkey fell down into a well.
The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out
what to do. Finally, he decided the animal was old, and the well needed to...
Kwa sasa tunaishi maisha ya kizungu, ya kuwa na vyakula na vinywaji kwenye majokofu. Huu ni ustaarabu ulioletwa na wazungu na umeenea maeneo yote duniani. Kwa Nchi masikini kama Tanzania, majokofu...
TANZANIA imetajwa katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (AU) kuwa miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyo kikwazo cha mtangamano barani Afrika.
Ripoti hiyo ya hivi karibuni imebaini kuwa Waafrika...
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number...
Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Halotel ina bidi kila wakati uwe unatembelee hii website halogame.co.tz. Halotel wamekuwa wakiunganisha watu kwenye games bila kuwapataarifa. Na hata unapokatwa...
Wakuu!
Nataka nikope 60 mil then niache kazi Serikalini kinyemela ( kuwa mtoro mno , kuacha taaaratibu …)! Naona pension yangu naweza nisiipate aisee.Mambo ni mengi mno, halafu pension yenyewe ni...
Mods naomba msifute au kuunganisha hii
Mo Dewj ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania, tukio la kupotezwa kwake leo kama hatapatikana akiwa hai basi ndo utakuwa mwendelezo wa...
Tanzania | Published On: Tue, Jan 3rd, 2012
Tanzania's minister for lands, housing and human settlement Anna Tibaijuka
The late Laurian Cardinal Rugambwa, the late Gervas Ishengoma and Mr...
Habarini wadau.
Kuna taarifa kuwa muswada wa mabadiliko ya sheria na taratibu za kuzuia watu walio chini ya miaka 45 kuzuiliwa kuendesha magari makubwa ya mizigo na ya abiria.
Naamini huyu...
NSSF-Masasi ni jipu.
Katika wilaya ya Masasi huduma inayotolewa na ofisi hiyo ni mbovu sana kwa kutofuata taratibu na sheria na madhumuni ya mfuko huo kwa upande wa huduma za afya na pia sheria...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Kaimu Afisa Elimu (Msingi) wa wilaya ya Muleba, mkoani Kagera Bw. Bukuru Malembo awe amepeleka walimu wawili katika shule ya msingi iliyoko kwenye...
Hapa maofisa walikwenda kwenye apartment zake baada ya kupata taarifa muhimu.
VIDEO:
-----Update-----
Pagan Amum anasema,
Baada ya video kutrend iliyoonyesha Mfanyabiashara Davis Mosha...
Leo uongozi wa Udarts ulikuwa unatatua mgomo wa wadereva ambao waligoma kutokana na kutokulipwa mishahara yao.
Alipotakiwa kujibu suala la ukatishaji tiketi kupitia mashine, mkuu huyo alisema...
Habari wana jamvi
Aise duniani kuna mambo ndo maana hadi wakaimba kuna watu na viatu, asa hoja yangu ya msingi naomba niwaulize wenzagu hii changamoto ya kukatishwa tamaa ama kusemwa semwa na...
JESHI la Polisi wilayani Ukerewe limepiga marufuku mtu yeyote kujihusisha na kusafirisha abiria kutoka kisiwa cha Ukara na kijiji cha Bugorora.
Limesema shughuli hiyo itafanywa na vivuko mbadala...
Habarini humu ndani.
Nauliza kama kuna bima za makampuni ya nje? Mfano mtu anataka kuwekea shamba bima ya moto. Naona haya makampuni hapa nchini mengi ikifika kipindi umepata tatizo ulilowekea...
Napenda kujua alipo dada Mwakitwange aliyekuwa anaendesha kipindi cha Tanzania tunayoitaka,
toka awamu hii ya 5 iingie sijamsikia kabisa mwenye kujua hizo taarifa atusaidie, na imani tunamuitaji...
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?
Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea...