Mtu akiwa mzima wengi utona wanakupuza sana, hata mtu akiugua watu tunaona kawaida tu., hata ukiomba hela ya dawa hata unaweza kunywimwa kabisa. Mtu akiwa hai anaweza kuzunngumza mambo ya maana...
Siku moja nilikuwa kazini akaja mzee mmoja simfahamu kwa jina ila nakumbuka ofisi yake na nafasi yake. Sasa mzee aliniambia haoni vizuri, mimi nikamwambia mzee ungestaafu tu kwani naamini...
Habari ndugu washiliki wa jamvi hili!?
Ndugu naomba tufahamishane ambao mmemeweza kuchukua hela ya kuchangia kupitia mfuko wa kijamii wa NSSF baada ya kujitoa uanachama yaani kuacha au kuachishwa...
Habar wana Jf
Nasikia tumevamiwa na wazungu wanalengo LA kutaka kuharibu amani ya nchi yetu
Ni watu wasiojulikana au wazungu?
Hawa wazungu ndo wakina nani??
Hawa ni wafanyabiashara wakubwa sana hapa nchini na ni walipa kodi wakubwa tu katika nchi yetu hivyo ni watu muhimu na umuhimu wao kwa sasa unathaminiwa zaidi kuliko huko nyuma kwasababu tunataka...
Ifike mahala sasa tukiwa tunacheza na timu nyingine wimbo wa taifa uanze na 'ibariki Tanzania' na sio IBARIKI AFRIKA.
Tunajisahau sana na kuwaombea timu pinzani.
😔😔😔
Inavyoelekea uwezekano wa kuyaona mapambazuko kwasasa haupo-angalau mpaka miaka mitano ijayo. Katika hali hiyo, tegemeo pekee tulilonalo ni hao wenzetu wakina Mbowe, Lissu, Mnyika n.k...
Leo bana nikaamua kuwatoa family twende beach tukale upepo kidogo.Kama kawaida tukienda tunafika mapema sana,hata breakfast tunapata huko.
Tukafika tukapata supu,wakati tukisubiri cha mchana...
1/Acha dhambi.
Dhambi ni msingi wa matatizo yote hapa duniani. Inafahamika ufanyacho ndicho ufanyiwacho kwa hiyo usujisifu kufanya uovu useme MUNGU amekusahau we tambua atakuja kulipizia kwa mkeo...
The Acacia official working with North Mara Gold Mine in Tanzania (NMML) (Marteen Van Der, Johanness Jensen) were on 10 October, 2018 were brought before Tarime Resident Magistrate’s Court being...
Alikosea Sana. Viongoz wwzur huandaa viongozi, Hilo sijaliona kwa Babu Fergie. Mzee vaan ga alomweka gigg alifanya vyema kwa bahat mbaya upepo sio.
Si Kila siku utakuwa na Raha wapenz wa soka...
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni aibu kwa wazazi wa shule ya msingi Kaloleni Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, hali ya sintofahu imeibuka baada ya wazazi hao kuwanyang'anya walimu mahindi...
Maswali ya msingi ni je,
1.Watanzania(watu wazima) wangapi wanajua namba ya dharura wanapopata majanga kama kuvamiwa au medical emergency au moto?
2.Je,elimu inatolewa vya kutosha juu ya namba ya...
Tapeli ni tapeli hilo halina mjadala.
Tapeli huwa haangalii sehemu yeye popote anapita.
Ni vyema kijilinda dhidi yake wala kutosikiliza maneno yake matamu yenye kushawishi kwani mwishowe...
Visa 10 vya utekaji nyara vilivyoishangaza dunia
Kisa cha kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Mo Dewji kimewashangaza wengi, huku polisi wakiendelea kumtafuta.
Katika historia...
Na Mwandishi Wetu
UTEKAJI wa watu maarufu barani Afrika imekuwa ni suala la kawaida hasa kutokana na kuanza kuja kwa kasi kubwa tofauti na awali, ambapo suala hili lilionekana kuwa ni kitu cha...
Hlw wana jamvi ,
Ninachokiona mimi juu ya utawala huu ni sawa na baba anapokuwa na kiu ya kufanya jambo la maedleo katika familiaa yake pale ambapo hulazimika kula ata mboga ya maji na chumvi...
Mzuqa,
Sisi waafrika watu wa ajabu sana. Wagambia eti wanammiss Yahya Jammeh wanadai licha ya uhuru wa habari wanayo sasa hivi ila hali ya maisha imezidi kuwa ngumu na uhalifu wa hali ya juu rais...
Serikali imepiga marufuku madaktari kuwaandikia wagonjwa dawa kwa kutumia majina ya kampuni badala yake watumie majina ya kitaalamu.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Oktoba 10, na Naibu Waziri...
Wamachinga mjini Babati wamemuomba Mheshiwa Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru baada ya kudai kuwa wananyanyasika kwa kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara huku wakirejea...