Tapeli.

Tapeli.

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Tapeli ni tapeli hilo halina mjadala.
Tapeli huwa haangalii sehemu yeye popote anapita.
Ni vyema kijilinda dhidi yake wala kutosikiliza maneno yake matamu yenye kushawishi kwani mwishowe atakuingiza kingi.
Hawa huumbuka wakibambwa hadharani.
 
Wameshakupitia mzee baba ? Kaa na hiyo kiumbe mbali...
 
Back
Top Bottom