KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Mtu akiwa mzima wengi utona wanakupuza sana, hata mtu akiugua watu tunaona kawaida tu., hata ukiomba hela ya dawa hata unaweza kunywimwa kabisa. Mtu akiwa hai anaweza kuzunngumza mambo ya maana na wengi mkampuuza tu.
Lakini kinachonishangaza kibeseni mie ni kuheshimwa na kupendwa na kutafuta urafiki na kuthaminiwa kwa marehemu. Angalia, ukiwa mgonjwa unaweza nyimwa pesa ya matibabu, ukifa hata ng'ombe watatu watanunuliwa na kuchinjwa msibani, jeneza angalia la galama kubwa,. Nguo za marehemu zakumzikia marehemu sio magunia, niza ghali. Hilo kabuli sasa wengine wanajenga mpaka malumalu wanaweka, na zege, na vioo. Mpaka kumaliza matanga ni pesa nyingi sana zimetumika. Najiuliza mie, kabulini anakwenda kuoza tu, wanini ipotevu huo wa mali si zingefanya maendeleo mengine ya wale waliobaki hai duniani. Tena ingewezekana hata TRA wangekuaa wanafuatilia kodi hapo, tz yetu inahitaji maendeleo, mbona kwenye sadaka mnatamani kodi. MBONA MAREHEMU WANAPENDWA HIVO. KWANINI?!!!!??