Tupeane uzoefu wa kuweza kuchukua hela ya madai NSSF

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,204
3,308
Habari ndugu washiliki wa jamvi hili!?

Ndugu naomba tufahamishane ambao mmemeweza kuchukua hela ya kuchangia kupitia mfuko wa kijamii wa NSSF baada ya kujitoa uanachama yaani kuacha au kuachishwa kazi kwa taasisi binafisi.

Kwa upande wangu nimefungua madai mwaka huu kuanzia tarehe 2/3/2017 nikiwa nimeambiwa baada ya wiki tatu hela yangu nitakuwa nimeipata .... Chakushangaza mpaka hivi sasa miezi 8 inaisha nikiwa naifatilia hiyo hela kama vile namdai MTU binafisi....

Wadau naombeni ushauri nifanye nn hiyo niipate ili angalau nianzishe hata businesses unit yoyote ile ili niweze kuendelea kupata mkate wa kila siku!!
 
Naandika kwa uchungu mkubwa laani kwa nguvu zote kitendo hiki nina 10M nimehangaika sana tangu mwezi February mpaka leo.Nimewahi mpaka kuwafuata wale watu wa mapokezi nikawaambia mnisaidie nipata 7M hizo nyingine 3M gawaneni.Lakini haikuwezekana zaidi wana niambia serikali ya Magufuli imeharibu kwahiyo hakuna jinsi
 
Mimi kampuni niliyokuwa nafanya kazi mkataba uliisha,..Lakini pia kulikuwa na jamaa alikuwa anatikwa chukue hiyo hela aende chuo na alikuwa na vielezo vyote na yy mpaka leo anasota
 
Habari ndugu washiliki wa jamvi hili!?

Ndugu naomba tufahamishane ambao mmemeweza kuchukua hela ya kuchangia kupitia mfuko wa kijamii wa NSSF baada ya kujitoa uanachama yaani kuacha au kuachishwa kazi kwa taasisi binafisi.

Kwa upande wangu nimefungua madai mwaka huu kuanzia tarehe 2/3/2017 nikiwa nimeambiwa baada ya wiki tatu hela yangu nitakuwa nimeipata .... Chakushangaza mpaka hivi sasa miezi 8 inaisha nikiwa naifatilia hiyo hela kama vile namdai MTU binafisi....

Wadau naombeni ushauri nifanye nn hiyo niipate ili angalau nianzishe hata businesses unit yoyote ile ili niweze kuendelea kupata mkate wa kila siku!!
Mbona mimi nilfungua March na nilishalamba mpunga wangu?
 
Kama nitakua na kumbukumbu nzuri ni hv pesa za mifuko alichukua boss akasema sio zao wasikae nazo
 
Back
Top Bottom