The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Leo bana nikaamua kuwatoa family twende beach tukale upepo kidogo.Kama kawaida tukienda tunafika mapema sana,hata breakfast tunapata huko.
Tukafika tukapata supu,wakati tukisubiri cha mchana naona kila mtu kavaa swimming costume ila busy na simu. Nkamuuliza jamaa wale wanaogurd bahari vipi,leo mwake au hali haielewki?akanijibu kuko poa.Vp wataka kuoga nikamjibu yah ila mie sio mpenzi wa maji napendaga kukaa pembeni tu nikila vyombo nakuinjoi maajabu ya bichi.basi akaondoka.
Nikamwambia mama mnaweza kwenda koga haina shida.Nilikuwa na wadogo zangu 3 na uncle angu mmoja anapenda maji huyo kama bata. Wakajibu sawa ngoja tule .Ishu zikaendelea mie nimekaa pemben na swimming costume pemben nina mzinga wangu flan hivi.Tukala, ila nikashangaa mbona hawa jamaa hawaendi kwenye mawota?kuwauliza wananambia wajua msimu huu upepo mkali so tumeamua tuangalie bahari tu.duh nikamjibu maza ok.Nikanyanyuka nikaenda msalani nikacheka sana.Halafu nikarud nikaagiza mzinga mwingine na ice nikapiga na miwani nikamute .Ila nimecheka sana.
Maji hayazoeleki mweehhh.Nimeamua naanza swimming lesson ya lazima soon.