Melvine JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 720 Reaction score 1,388 Oct 13, 2018 #1 Ifike mahala sasa tukiwa tunacheza na timu nyingine wimbo wa taifa uanze na 'ibariki Tanzania' na sio IBARIKI AFRIKA. Tunajisahau sana na kuwaombea timu pinzani. 😔😔😔
Ifike mahala sasa tukiwa tunacheza na timu nyingine wimbo wa taifa uanze na 'ibariki Tanzania' na sio IBARIKI AFRIKA. Tunajisahau sana na kuwaombea timu pinzani. 😔😔😔
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,842 Reaction score 11,784 Oct 13, 2018 #3 Lakini WaTz ni wa ajabu sana, kila kitu tunajiweka nyuma, mpaka kujiombea!
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,353 Reaction score 22,963 Oct 13, 2018 #4 Auz said: Lakini WaTz ni wa ajabu sana, kila kitu tunajiweka nyuma, mpaka kujiombea! Click to expand... Tulijifanya wazalendo wa kuwakomboa wengine, leo ukikanyaga nchi hizo unatiwa ndani. Tujithamini kwanza na wengine baadaye
Auz said: Lakini WaTz ni wa ajabu sana, kila kitu tunajiweka nyuma, mpaka kujiombea! Click to expand... Tulijifanya wazalendo wa kuwakomboa wengine, leo ukikanyaga nchi hizo unatiwa ndani. Tujithamini kwanza na wengine baadaye