Wakuu habari Zenu ?
Poleni na kazi ila Hongereni na Komaeni Maana ndo Wajibu Wenu
Samahani naomba msaada wa Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya DHL, Kwa...
Inaandikwa katika JF Ajali: Mabasi ya Kampuni ya Newforce Enterprises yagongana maeneo ya Ruaha Mbuyuni - JamiiForums
Mabasi mengi sana yanapakia abiria zaidi ya viwango vilivyoidhishwa na hakuna...
Yamkini ni tafakauri isiyo na maana ama ni upungufu wa Elimu na maarifa..
Lakini naomba kujuzwa kama mimea ni viumbe hai kwa maana inakula na kupumua. Ikivuta hewa ya chafu kwetu na kuachia hewa...
Musoma, Mara.
Jumamosi 13, Oktoba 2018.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndg. John Lipesi Kayombo amewataka Diwani wa Kata ya Bugoji, Mwenyekiti wa Kijiji cha Bugoji, Wenyeviti wa...
Muda unazidi kuchanja mbuga bila ya Mo kuonekana.Hakuna anayependa habari ya kukata tamaa kwamba hatapatikana kupenya masikioni kwake.
Lakini,Who knows? Inawezekana Watekaji walijipanga haswa na...
Viwanda vinne vikubwa vya kuzalisha mafuta ya kula vinadaiwa kusitisha uzalishaji kwa takribani mwezi mmoja sasa baada ya kuzuiwa kwa meli mbili zenye mafuta ghafi katika bandari ya dar...
Wadau, habari za jumamosi
Nitaeza tukio tukio la ndugu Zakaria huyu ni tajiri wa musoma alafu wewe utaweza kwa kitumia maarifa yako waweza kujipa jibu.
Pili, naomba jamiiforum wasifute uzi...
Naomba nielekezwe hapa kidogo mtu unaanzaje kuvuta bangi ?
Upi umuhimu wa kileo cha bangi? Na yapi madhara ya uvutaji wa bangi?
ili mtu aache kuvuta bangi anatakiwa afate njia zipi?
Ni maswali...
Watanzania tujihadhari, Usidhani uko salama japo nchi iko salama.
Usalama wako uko mikononi mwako, Wewe ndio raia na polisi namba moja.
Yajayo yanaogopesha. Chukua hatua.
Tuchukue tahadhari.
Mahala alipo tekewa Mo ni sehem ya kifahari yenye ulinzi mkubwa ,zikiwemo kamera zinazo saidia ulinzi....
Kwanini baada ya kutekwa mo camela zimeanza kuonyesha ukungu...
Sababu za kuonyesha...
Maisha bhana.
Kuwa maskini shida . Kuwa tajiri ni taabu zaidi, unawindwa kila kona ; unakolala, unakokula, unakoshinda, unakotembea, unakosafiri nk !
Maskini na tajiri wote huishi na hofu na...
Kuna Mtaa mmoja ulikuwa ukipita muda wowote ule utakaribishwa na ' Mijibwa ' hadi utakoma ila tangia jana Usiku hadi muda huu najiuliza hao Mbwa wameenda ' Likizo ' au Wazungu wetu wawili wa...
Jeshi la Polisi nchini limeendelea kuimarisha ulinzi huku likifanya uchunguzi katika Pwani ya Bahari ya Hindi hususani katika hoteli zilizo ukanda huo ikiwamo Yacht Club.
Polisi hao wamekuwa...
Ni kweli zipo hofu bandia zilizopandikizwa na wanasiasa zinazotufanya tufanye tusivotaka kuvifanya na kuogopa kufanya tunavyopaswa kuvifanya
Haya maswali yamekuja kichwani mwangu baada ya...
Nawaasa tu!
Umakini mkubwa unatakiwa katika kusema, kuchangia, kuzusha, kuhisi michakato ama watu fulani fulani kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji.
Hizi fb, WhatsApp, Tweeter, Insta , Jamii Forums ...
Nimekuwa mpenzi wa kusikiliza vipindi vya clouds FM na kuangalia clouds TV toka REDIO FREE AFRICA ilipoanza kupoteza ubora wake, lkn tatizo ya redio hii ya clouds matangazo nimengi Sana haipiti...