Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

niko nafatilia itv wanarusha kumbukumbu ya mwl nyerere nakumbuka mbali sana kipindi hicho niko darasa la 5 dah zamani sana nakumbuka niko morogoro ila huu msiba uligusa sana mimi na sidhani kati...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Tangu awamu ya tano ilipoa anza kumekuwepo na matendo ya unyanyasaji kwa kwa watumishi hasa wa umma pamoja na secta binafsi, viongozi wa serikali wengi wamekuwa wakitumia madaraka yao vibaya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Simanjiro kwa mara ya kwanza imeweza kushirikisha kata mbalimbali katika mashindano ya mpira wa miguu. Lengo ni kujenga mahusiano mema kati ya pande hizo lakini pia...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Tuache utani hivi Sakata la mwendokasi habari ndo imeishia hapo wajamenii...[emoji24][emoji24]Waliohujumu mradi kwa tiketi feki ndo wameokoka sasa habari ni MO au..??shikamoo Tanzania yangu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi kuliletwa taarifa mzito za msiba na Huku kuliletwa uzi wa kufariki tuu Tena ukawa unafutwa futwa na hata sasa huo uzi umefutwa sasa hakuna mwendelezo wa Anazikwa lini Wapi Rambirambi...
2 Reactions
39 Replies
10K Views
Shabani Kisu alikuwa TBC1. Baadae Mh. Rais Mtaafu Jakaya Mrisho Kikwete akamteua kuwa DC huko Kondoa. Alipotumbuliwa na JPM, akarudi tena kutangaza TBC1. Swali :- Katika muda wote aliokuwa Mkuu...
4 Reactions
44 Replies
14K Views
Nuclear bomb iliyosababisha mauaji ya kutisha pale Hiroshima na nagasaki yote ni kazi ya binadamu Ukija kwenye mashine gun ya AK 47 ndio silaha yenye Record ya kuua watu wengi zaidi hapa duniani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wilayani hapa, kimeishauri Serikali kutunga sheria ndogo ndogo zitakazowabana wazazi wanaowapeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiuhalisia vyombo vya dola vilipaswa japo kutoa helicopter moja ambayo Inge survey kwenye anga huku wengine wakiwa barabarani wakiwasiliana na kutoa ripoti kutoka juu wakionacho,labda ingesaidia...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Ile ya ".......fyekelea mbali" na "......weka ndani" ni matamshi yaliyotoka kikazi zaidi japokuwa tigo wameyachukua na kuyatumia kibiashara. Mwanri anapaswa kuyasajili mstamshi haya na kuyamiliki...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo hii ina maana tatu kati ya Waislamu hasa kutetea imani ya Kiislamu pamoja na kulinda umma ya Waislamu, pia kutetea Waislamu wanaoshambuliwa. kushindana na udhaifu wa nafsi na kujitahidi kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Msiba upo Tabata Kimanga unashukia kituo cha chama ,humu jamvini yameandikwa mengi ya upotoshaji ila mimi ni jirani yangu toka mwaka 1988 tukiwa vijana kabisa ,namfahamu vizuri sana. Mazishi...
1 Reactions
70 Replies
23K Views
Assalaam Alaykum wandg,nataraji mpo salama Naomba mpokee neno dogo tu kutoka kwangu,huenda likawa na faida kwetu sote naaam,huenda.... Elewa ewe ndg KILA NEEMA,HAIKOSI KUWA NA HASIDI NA KILA...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona niwashirikishe hii mada ili wanaume tujifuze kuwa tuna haja ya kuwadokeza wake zetu au watoto wetu watiifu juu ya Asset tulizonazo ili siku hali ikiwa mbaya au tutakapotangulia mbele za...
57 Reactions
124 Replies
14K Views
Habari za weekend wakuu, Leo nimeona tukumbushie enzi zilee,unacheza kombolela,lede,ukihisi kiu unakunywa maji ya kwenye mtungi. Watoto wa kishua hamuwezi elewa hii kitu,wangapi wameshawahi tumia...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Tusaidiane kupata hata softcopies Umesoma kipi na ungependa wengine wasome pia?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu watanzania habari ya kutekwa kwa mo dewji naiona inapotea kdgkdg wakt bado hajajulika yupo WAP na watekaji ni wakina nani????? Mo dewji ni mtanzania na ametoa mchango mkubwa sana hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi nilikuwa naiheshimu sana Saudi Arabia kuliko Israel lakini heshima ya Saudi Arabia imetelemka na kufikia kiwango cha chini sana baada ya kuingia vitani nchini Yemen na kuua watu kwenye nchi...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa JF naomba tujumuike pamoja ktk hoja.Baadhi ya watu wamekuwa hawajui siku kama ya leo ina umuhimu gani kitaifa?
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…