wangapi wanafatilia ITV kumbukukumbu ya Mwl nyerere

wangapi wanafatilia ITV kumbukukumbu ya Mwl nyerere

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
930
Reaction score
1,024
niko nafatilia itv wanarusha kumbukumbu ya mwl nyerere nakumbuka mbali sana kipindi hicho niko darasa la 5 dah zamani sana nakumbuka niko morogoro ila huu msiba uligusa sana mimi

na sidhani kati ya marais waliokuwepo akitokea kugaliki kama watu watalia hivi nchi nzima
 
Kipenzi cha wanyonge ataliliwa
 
haipo hiyo tcra washaitoa nunua zuku sasa hivi nachofanya nalipia azam ila kwenye zuku naangalia local prog bure
Nmeenda kununua startimes kingamuzi cha antena hakina waya wala antena yake yaan dekoda tu wanataka laki kasoro buku ...kweli tcra asanteni
 
Nipo naangalia hapa. BABA wa taifa wa ukweli.
rest in peace my HERO daddy..
 
kipindi hicho nilikua najua kwamba kama nyerere akifa bhasi wazungu ndio watakuja kututawala na nchi inauzwa dahhh nililia sana
 
Kumuenzi mwalimu Nyerere ni unafiki mtupu, nchi haiko vile alivyoiacha, ukanda, visasi, ghilba, chuki vimetawala, uhuru aliouacha umenyakuliwa na kaburu mweusi kama sisi, afadhali tusingepata uhuru!!
 
Chanel zote wameng'oa tunaangalia tu maisha Majic bongo tu
 
Back
Top Bottom