Muhidin ndolanga umejizalilisha sana sana;nashauri pumzika achana na uongozi wa soka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhidin ndolanga umejizalilisha sana sana;nashauri pumzika achana na uongozi wa soka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 22, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,655
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuandikamada moja kwenye tanzania daima ameishindwa fat ataiweza drfa
  wapo walaiopiga vijembe lakini hiyo ilikuwa siku anachaguliwa kuongoza kamati za drfa
  mwezi mmoja uliopita nilihoji matusi ya ndolanga kupitia cloudss fm kwa kuwatukana
  na kuwadhihaki kabisa mbaya anawambia mnajua nyie waadishi wa habari akili zenu aziko sawa
  nkamuuliza yule mtangazaji kaka ni kweli usije na wewe ukatukana mkawa wote amko na akili

  mungu si athuman akuweka kisasi moyoni kesho yake akaulizwa kuhusu huyu bwana bakheresa na elimu yake ..akajibu nyie waandishi wa habari vinaa sana mnajua kwanza sheria za drfa mnajua sheria za tff
  sasa nawaambia hao wanaowaongelewa apembeni na kuwajaza maneno basi kilio chao wakafikishe tff waone nani zaidi kamati yangu ama wao

  kwa uzuri kabisa na bila kupapasa maneno napenda kumwambia mzee ndolanga shame on you...kwa nia ssababu zifuatazo

  1.....kwanza kwa kuzalilshwa ama kujizalilisha mwenyewe kwa kuwatukana watangazaji wa clouds fm

  2..kwa kujizalilisha kwa kugushi form za watu kwa kunyofoa kurasa za mwisho na kuweka zenu mwisho wahusika kuwageuzia kibao awajawahi kusaini form hizo

  3...ni swala la elimu yako kwenye mpira..nawiwa kuuliza mzee wangu una kiwango gani cha elimu ya mambo ya mpira..sisemi kwa ubaya ulisema kwenye redio ya watu clouds fm kwamba nyie waandishi amji kitu bana mimi ni rais wa heshima ...wa tff..so sio rahisi kupata cheo kama hiki..nikahisi pengine una kiwango fulan cha michezo wenzio awana....

  4......kumpitisha amin bakherresa kwa kupokea pesa yake

  ni ukweli na uwazi ulikuwa ukiongoza drfa kwa msalahi yako binafsi ya kifedha kama si kiuchumi kama ulivyofanya kwa fat mpaka mh rais akaingilia kati piga ua utoke kwa uchafu na ufisadi wako na mh wambura..sisemi kwa ubaya kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake ila mzee wetu ulipitiliza ukawa na kiburi mbaya zaidi ukaendeleza kiburi chako na majivuno ukiwa drfa bila kujua sasa watu waliosoma wanaelewa nini kinaendelea ..nahisi kaam umeona pingamizi la bakhressa lililowakilishwa na wambura utajua shule ni nini

  mzee wetu akuna kilichofichika uliambiwa achana na bakhresa atakuzalilisha kumngangania mtu asiefika la nn alafu katiba hiyo hiyo unaitetea a..mbaya zaidi niliona unajizalilisha kwa kuwambia wenzako liwalona liwe nampeeleka akafie mbele ya safari..sasa aibu hii si kwa bakheresa pekee kamati yako nzima imeonekana amkuwa pale kwa ajili ya maadili ya kazi bali kwa kujaza matumbo yenu

  mwisho nimeshangaa tff kusema waunde kamati nyingine ...ambayo iundwe na uongozi wa drfa

  mh tenga
  sipendi kwenda mbali najiuliza hivi unajua mnachokifanya ??unajua uongozi wa drfa wote ni batili na muda wao umeisha..iweje uongozi ulioisha ukawa na madaraka ya kuunda kamati nyingine..wakati uongozi huo huo umeunda kamati ya magumashi aibu ikawakuta...

  Naomba kama umeona hili ufwatilie tunasubiri kama utauruhus hili aijalishi yulo nani tutaenda mahakamani tena kwa ahjili yao
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ni mhariri gani aliyekuruhusu uandike kwenye gazeti?
  Unazijua herufi kubwa, koma, kituo kikuu (full stop), funga na fungua semi, sentensi iliyonyooka, mpangilio wa maneno na unyoofu wa mada?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,655
  Trophy Points: 280
  Unafikiri ni gazeti la mfanyakazi hilo loh
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  kama wahariri wenyewe ndio hawa basi dunia imeisha.. Ndio maana naibu waziri wa elimu kasema Tanzania ni Zambia na Pemba
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Anajua anachopata; ana WATOTO na wote wanasome NJE ya NCHI... Kwahiyo anajua anachokipata HUKO!!!
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hata mi nilisikitika sana nilipoona kua kapiga chini majina ya wasomi na kampitisha mtu ambaye hata form four hakufika...aisee kweli money talks...shyt walks...
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hata mi nilisikitika sana nilipoona kua kapiga chini majina ya wasomi na kampitisha mtu ambaye hata form four hakufika...aisee kweli money talks...shyt walks...
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Amejidhalilisha? Kwani tangu lini Ndolanga amewahi kupewa heshima?
   
 9. C

  Concrete JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  *Anaitwa Alhaji Muhidin Ndolanga. Ni mtu unayeishi kwa kuamini Rushwa, Fitna na Ushirikina.

  *Ni kada maarufu wa CCM na pia ameshawahi kuomba kugombea ubunge kupitia CCM mkoani Ruvuma mwaka 2000 lakini alishindwa.

  *Hafai kushika nafasi yoyote ya uongozi katika sekta yoyote nchini mwetu.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,655
  Trophy Points: 280
  anajiita rahisi wa heshima mkuu
   
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kama sio Mfanyakazi .....bora liende!!
   
 12. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ... Sasa na wewe tukupe wizara gani kwa hiyo Zambia yako?
   
Loading...