Kero kubwa ya foleni CRDB Mlimani city

Time Traveller

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
347
500
Wahusika Wa hili tafadhalini sana mlifanyie kazi suala hili. Yaani dirisha za tellers zipo kumi ila zinazofanya kazi ni NNE tu. Huu ni uzembe uliopitiliza...au sababu ni ya serikali ndio muwe wazembe hivyo. TTCL walianza hivo wakapotea jirekebisheni ushindani ni mkubwa wateja tunahama.
 
GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,478
2,000
Dirisha kumi,zinafanya kazi nne.
Hapo kweli wamezingua,tena jumatatu leo.
 
kwabwina

Senior Member
May 29, 2016
128
250
Na huu utaratibu cjui wameutoa wap Ni Benk nyng hufanya Hv unakuta madirisha yapo 6 Lakini yanayofanya kaz 2 hasa hii benk ya NMB Pia wanao upuuuz huu
 
lingula70

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,066
2,000
Wahusika Wa hili tafadhalini sana mlifanyie kazi suala hili. Yaani dirisha za tellers zipo kumi ila zinazofanya kazi ni NNE tu. Huu ni uzembe uliopitiliza...au sababu ni ya serikali ndio muwe wazembe hivyo. TTCL walianza hivo wakapotea jirekebisheni ushindani ni mkubwa wateja tunahama.
Wanajibu haraka sana kwenye twitter account yao ama messenger acct yao ya facebook, lalamikia huko watakujibu haraka
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,923
2,000
pole mkuu elewa ATMs now days unaweza kufanya chochote unachoweza pale bila ya kwenda kwenye counter,halafu ni cheaper kutumia ATM,maana unaweza kwenye ATM to deposit,transfer the funds,payments of accounts,bank statements,buy airtime or datas etc etc
 
wa hapa hapa

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
244
250
Nadhani hii tabia ni kwa Banks nyingi,ila NMB ndo baba lao katika hili.
Nipo hapa CRDB(DODOMA) madirisha yapo zaidi ya 10,ila dirisha moja tu ndiyo linalotumika.
 
nyamchele

JF-Expert Member
May 28, 2014
1,238
2,000
pole mkuu elewa ATMs now days unaweza kufanya chochote unachoweza pale bila ya kwenda kwenye counter,halafu ni cheaper kutumia ATM,maana unaweza kwenye ATM to deposit,transfer the funds,payments of accounts,bank statements,buy airtime or datas etc etc
Mazoea shida mkuu........
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Kuna ushamba pia wawatu kwenda mlimani city bila ulazima. Mtu anapita UBUNGO kuna tawi la crdb anaenda m city. Mwingine kwa makusudi anatokea changanyikeni anaacha la chuo huuyo mlimani city. Yaani kama nmb la hapo udsm au Mandela tbt hukuti watu wengi lakini mlimani hata pa kupumua hupaoni.
Nb haimaanishi wasiboreshe huduma zao
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,891

Watu wa uswazi wakienda Mlimani City wanaishia tiGo, Voda, Airtel na CRDB. Lazima pafurike.
 
Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
1,466
2,000
pole mkuu elewa ATMs now days unaweza kufanya chochote unachoweza pale bila ya kwenda kwenye counter,halafu ni cheaper kutumia ATM,maana unaweza kwenye ATM to deposit,transfer the funds,payments of accounts,bank statements,buy airtime or datas etc etc
Kaka elimu, elimu, elimu bado kwa wengi, na lack of confidence
 
Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
3,980
2,000
Kuna ushamba pia wawatu kwenda mlimani city bila ulazima. Mtu anapita UBUNGO kuna tawi la crdb anaenda m city. Mwingine kwa makusudi anatokea changanyikeni anaacha la chuo huuyo mlimani city. Yaani kama nmb la hapo udsm au Mandela tbt hukuti watu wengi lakini mlimani hata pa kupumua hupaoni.
Nb haimaanishi wasiboreshe huduma zao

Nenda ya ubungo ndio utatia akili aisee.. khaa mimi huwa natakiwa transaction nifanyie Mlimani City but kuna siku nikasema ngoja nijaribu ubungo nilijuta... n apia una ya hapo mwenge Ngome house ni yale yale tuu
 
kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,772
2,000
Huwa nashangaa sana watu mnaotumia hii bank..
Kwangu mimi the best banks Kwa sasa hapa Tanzania ni
1.nmb bank
2.dtb bank
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
nani kakwambia CRDB ni ya serikali? kampuni kuwa "public" haimaaninshi kuwa ni la serikali (achilia mbali yale tunayoyaita mashirika ya umma kama vile TANESCO, TBS, MUHIMBILI, UDSM N.K, ingawa ki uhalisia ni mashirika ya serikali)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom