Katazo la Kusafirisha Samaki

Katazo la Kusafirisha Samaki

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Jamani naulizi hivi hili katazo bdo lipo natarajia kwenda Mwanza kufuata samaki wa kitoweo, Nisaidieni kama hili katazo lipo
 
Sidhani kama lipo bado. Wewe nenda chukua zako samaki panda nao kwenye basi.
 
utapata shida sana mosi uwe na kibali kutoka kwa maafisa uvuvi pili wasiwe China ya centimeters 50 kwa upande wa sangara na kwa upande wa Sato au magege wasipungue centimeters 25 Tatu kwa matumizi ya kitoweo zisizidi 20kg na zanani umenisoma mkuu
 
Sidhani kama lipo kama utafuta sheria sema wenye magari ndi huwa wanaogopa kupakia
 
Back
Top Bottom