Habar za leo ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye nyimbo hizi azi-appload humu jukwaani,nimezitafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio
1.Sanura,wimbo huu umeimbwa na Tongolanga kwa kushirikiana na...
Naanza kwa story kidg,kuna Sikh nilisafr kwa kwenda mji b,nikuwa mji niliona ni vizur niende kanisani ili nikatimze ahadi ya kukusanyika sehum moja na kusifu bwana mungu wetu kwenye uwingi wa...
Haya sasa wale wanaonadi Tanzania tupo nyuma kwenye upande wa technology Hahaha Leo wamebaki modomo wazi baada ya IGP kukamilisha uchunguzi wa tukio LA kitekwa MO
Preeepreeeee Tanzania...
Leo nimepata bahati ya kuitazama mifuko yetu mitatu, NSSF, LAPF na PSPF jinsi wanavyokokotoa mafao yao.
NSSF:
Wanatumia wastani wa mshahara wa mwezi kwa miaka yako 3 ambayo ulikuwa unalipwa...
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
Habar za leo ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye nyimbo hizi azi-appload humu jukwaani,nimezitafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio
1.Sanura,wimbo huu umeimbwa na Tongolanga kwa kushirikiana na...
Habar za leo ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye nyimbo hizi azi-appload humu jukwaani,nimezitafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio
1.Sanura,wimbo huu umeimbwa na Tongolanga kwa kushirikiana na...
Habar za leo ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye nyimbo hizi azi-appload humu jukwaani,nimezitafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio
1.Sanura,wimbo huu umeimbwa na Tongolanga kwa kushirikiana na...
Mwanafunzi wa kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Mawenzi ya Moshi amejifungua mtoto wa kike akiwa shuleni hapo.
Tukio hilo la aina yake lilitokea jana saa 10 alfajiri huku kukiwa na sintofahamu...
Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…...

Zaidi ya abiria 300 wanaosafiri na treni ya Shirika la Tazara, kwenda Dar es Salaam, wamekwama kwa siku tatu mjini Makambako mkoani Njombe, baada ya mabehewa mawili ya mizigo kuanguka eneo la...
Habari ndugu najua kwenye wengi app haribiki kitu.. na wapo wataalam na waliowahi patwa na hili jambo..
Baba anasumbuliwa na kwikwi tumejaribu kwenda hospital lakini wataalam wamesema hawaoni...

Hua sielewi hili shirika linavyojiendesha au mapato yake yanatokana na nini hadi kuweza kujiendesha hadi kuwalipa waandishi wake habari na watangazaji wanaoripoti kila sehemu mbali mbali za dunia...

Mfuko wa PSPF kabla ya kuunganishwa kwa Mifuko, Mtaafu aliyetumikia miezi 423 alilipwa kiasi cha Shs. 103,228,450 kwa mshahara wa mwaka mzima wa Shs.17,004,000/= Je,kwa Kikokotozi cha mfuko huu...