Shirika la utangazaji la bbc idhaa ya kiswahili.

Shirika la utangazaji la bbc idhaa ya kiswahili.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Hua sielewi hili shirika linavyojiendesha au mapato yake yanatokana na nini hadi kuweza kujiendesha hadi kuwalipa waandishi wake habari na watangazaji wanaoripoti kila sehemu mbali mbali za dunia, na je dw na wao ni tawi la bbc? Naombeni kueleweshwa kwa anaeelewa.
 
Linaendeshwa na kodi za Waingireza na liko huru.

Compare with TBC....
 
Hili swali hata mimi huwa najiuliza na sipati jibu..au ni kama TBCcM??
 
BBC ni British broadcasting corporation
Ni shirika LA utangazaji LA uingereza

Ni kama ilivo TBC tz.

Wanapewa ruzuku toka serekalini\kodi za waingereza pamoja na mapato yatokanayo na matangazo.
 
Hayo yote uliyo yataja ni mashirika ya Umma na yanaendeshwa na kodi za wananchi wa hizo timu husika...........
 
Back
Top Bottom