Nazitafuta nyimbo hizi

Nazitafuta nyimbo hizi

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,888
Reaction score
13,645
Habar za leo ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye nyimbo hizi azi-appload humu jukwaani,nimezitafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio

1.Sanura,wimbo huu umeimbwa na Tongolanga kwa kushirikiana na band yake ya makondeko

2.My friend remix,muimbaji simkumbuki lkn ameshirikishwa Mr.Blue a.k.a Kabaissa

Nitafurahi kama nitapata msaada wenu!
 
Niliishi jirani na Tongolanga miaka fulani pale mbagala kokoto alidumisha utamaduni huyu mwendazake, ngoja waje au cheki YouTube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom