Shirika la utangazaji la bbc idhaa ya kiswahili.

Shirika la utangazaji la bbc idhaa ya kiswahili.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Hua sielewi hili shirika linavyojiendesha au mapato yake yanatokana na nini hadi kuweza kujiendesha hadi kuwalipa waandishi wake habari na watangazaji wanaoripoti kila sehemu mbali mbali za dunia, na je dw na wao ni tawi la bbc? Naombeni kueleweshwa kwa anaeelewa.
 
Kwani TBC ni shirika la nani na linapata wapi pesa kujoendesha?
 
Back
Top Bottom