mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Naanza kwa story kidg,kuna Sikh nilisafr kwa kwenda mji b,nikuwa mji niliona ni vizur niende kanisani ili nikatimze ahadi ya kukusanyika sehum moja na kusifu bwana mungu wetu kwenye uwingi wa huruma na upendo.Baada ya kumsifu bwana akifka muda wa kutoa sadaka bas na ungeni wangu nikachukua buku yangu na kwenda kumtolea mungu baba kwenye uwingi wa rehema,baada ya hapo walienda wanaohuhuska na sadaka na kwenda kuzihesabu kwa hala isiyo ya kawaida nikaskia ni nani ameleta buku hii,nikapigwa na butwa na kushindwa kuamuka kwa kuwambia ni mim,,niliumia sana na kushindwa kuendelenda na ibada yao,,,na nilipofka ndipo nikaja kugundua kuwa kumbe pale kanisani walikuwa na limit ya sadaka ya kutoa na ilikuwa buku mbili kwa kila muumini.
My take he halari wachungaji wetu kutupimia sadaka za kutoa na je wanatumia kifungu gan kwenye Bible chenye kuwapimia waumini zao sadaka.
My take he halari wachungaji wetu kutupimia sadaka za kutoa na je wanatumia kifungu gan kwenye Bible chenye kuwapimia waumini zao sadaka.