Kwani Mo alikuwa anaswali wapi?

Kwani Mo alikuwa anaswali wapi?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,131
Reaction score
10,841
Ni vema asomewe dua na waliohusika na kumteka au kusaidia utekwaji wake wasomewe Albadiri.
 
Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23]

Lisu ni mgalatia. Allah hana haraka kujibu kwa asiye mwanaye. Pale ni maombi tu yalipepekwa ila kazi ilianza kidogo, lakini hii ya sasa, wamemgusa mwanaye, nadhani majibu hayatachukua muda.
 
Back
Top Bottom